Kamazima: Mazishi yake na yaliyojiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamazima: Mazishi yake na yaliyojiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Sep 29, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Sala ya kuaga inaanza baada mwili kuwasili toka Lugalo

  Kamazima.jpg
  Mwili wa marehemu umewasili

  kamazima 7.jpg
  Familia na ndugu wa marehemu...

  NB:
  Picha na maelezo zaidi vinakuja
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kalale pema kamanda wetu.
   
 3. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  kamazima3.jpg
  Jeneza lenye mwili wa marehemu...

  Kamazima2.jpg
  Maandalizi yamekamilika...

  kamazima 9.jpg
  Viongozi na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  apumzike kwa amani askari wetu!
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lala kwa Amani yake Bwana wetu Kamanda!
   
 6. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  kamazima 4.jpg
  Baadhi ya Mawakili waliofika msibani

  kamazima 5.jpg
  Sakramenti....
   
 7. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  kamazima 6.jpg
  Kwaya...
   
 8. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Salam za rambi rambi toka Rotary tayari... Now Mkuu wa Chuo cha National defence College, Meja Jenerali Makakara Mkuu wa Chuo ndiye anatoa salam.
   
 9. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Msemaji wa Chuo Kikuu cha Jeshi anasema alikua mchango mkubwa wa chuo hicho kabla na baada ya kuzinduliwa na Rais
   
 10. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Now ni Dk. Edward Hosea anatoa salam za rambi rambi kwa niaba ya Takukuru; Anasema: Marehemu, alihamishiwa TAKURU 1990... Akitokea JWTZ... Hadi anastaafu 2003

  Anakumbukwa kwa mengi akiwa taasisi hiyo, na katika uongozi wake, ndipo ilipanuka na kuongeza ofisi hadi wilayani

  Atakumbukwa kwa uadilifu na busara Wakati wote wa uongozi wake.

  Kwa niaba ya Takukuru, wametoa mchango wa milioni 10

  Chuo cha Ulinzi walitoa 1.3m

  Mwakilishi wa Chuo cha Diplomasia, Dk.Bernad Achiula, anatoa rambirambi zake Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi na Jumuiya ya Diplomasia, pole kwa familia na kwa mama na watoto na jamaa wote..

  Marehem alikua mjumbe wa bodi na makamu mwenyekiti wa bodi 2002-2008

  Anakumbukwa kwa mchango wake kuimarisha chuo hasa ktk fani zake za Diplomasia, strategia, na ufumbuzi wa migogoro... Chuoni hapo. Kumbukumbu zipo chuo, Chuo kimetoa laki tano kwa familia

  Salam za Tanganyika Law Society, mwakilishi wake anaenda kutoa salam. Rugambwa Siriro ni mwanasheria anasoma risala kwa niaba ya francis Tola, rais wa Chama cha wanasheria, marehemu alikuwa wakili.
   
 11. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  TLS wametoa milioni 2 za rambirambi.[​IMG]
   
 12. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Hapa msibani namwona pia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akiwa miongoni mwa waombolezaji waliokuja kumuaga marehemu Kamazima
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  RIP Kamazima. Historia ya utumishi wake jeshini ikoje au ni siri? n00b!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. m

  mabomu Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Historia yake ni ya kutukuka! Hana skendo kama viongozi wa siku hizi
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Tafadhali nijuze zaidi...naamini kabisa maneno yako hapo juu...ungeenda mbali kutusaidia kujua michango yake kama askari ilikuwa wapi zaidi. Niliwahi kusikia alitoa mchango mkubwa sana kuzima ile kasheshe ya kupindua mwaka 1982-3...sijui kuna ukweli kiasi gani kwenye hilo
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  R.I.P Kamazima, asante kwa update mkuu.
   
 17. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  R.i.p kamazima,daima tutakukumbuka
   
 18. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Umbea wa kuripoti misiba ya watu wengine badala ya kutumia Muda huu kufanya kazi
   
 19. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
   
 20. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  kamazima 10.jpg
  Hosea Akitoa heshima za mwisho

  RO akitoa heshima za mwisho

  kamazima 11.jpg
   
Loading...