Kamati za Bunge Mashirika yaUmma/Nishati Ni Watanzania % ngapi Wanapata Umeme ili Dowans Iwe Ndio Da | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati za Bunge Mashirika yaUmma/Nishati Ni Watanzania % ngapi Wanapata Umeme ili Dowans Iwe Ndio Da

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Mar 17, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hivi karibuni na kwa miaka kadhaa sasa Tanzania imekabiliwa na matatizo ya umeme kiasi kwamba kumekuwa na makundi mawili , moja linye kushabikia kuwaibia waTz kwa sababu ya hayo matatizo na kundi jingine lenye kujaribu kuzuia wizi huo, mpaka imefikia Viongozi wa Vyama/Serikali/Kidini/Wananachi/Magazeti kutumika ama kuteatea wizi huu au kupinga wizi huu, na juzi juzi kati ya kamati za Bunge za Nishati/Mashirika ya umma nazo zimejiingiza katika songombindo hiyo nayo ni katika kutetea wizi huo kupinga, sasa hivi karibuni katokea Mbunge moja ijui ilimu yake au elimu yake lakini yeye anadai anatetea maslahi ya watanzania, na kwamba walio nje ya nji hawajui matatizo ya makali ya umeme. sasa mimi na wananchi wengine tungependa kumuuliza huo umeme anao pigia kelele ni wakuwatosheleza 10% au %0% ya wananchi wa Tanzania pamoja na jimboni kwake? au ni ni wakuwatosheleza wevi wa wa tanzania?
  Maana ukisha kuwa kiongozi basi maono yako si ya kuona kwa siku moja bali yanatakiwa ya lenge mbali zaidi, na je huo umeme wa Dowans/wa dharura ndio suluhisho la matatizo yetu. Yeye amechaguliwa ili awe mwakilishi wa wa nchi kwa miaka 5, iwaje leo atole pendekezo/ushauri suala litakalo tatua tatizo la watanzania kwa miezi 6 na tena asilimia sema 5% ya watanzania? je mtu huyu kweli anaafaa watanzania wa kweli au anawafa wevi wetu. na kudumaza uchumi wa watanzania? au yeye anaona uchumi wa watanzania milioni 40 ni haki kukabidhiwa kwa watu wasio zidi 100,000, sema laki moja kuutawala kwake anaona kwamba amewasaidia waTz.
  Au hizo kamati zina simamia maslahi ya Watz gani?
   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kwa wana falasafa mfano WHO wanaposema dawa ya kitu fulani imepatikana wana maaanisha hiyo dawa inaweza kupatikana kwa unafuu kwa watu wengi sema zaidi ya 50%, sasa kwa viongozi wetu ambao wengine wamekuzwa kwa matumizi mabaya ya majani mapana ina maainisha kwa dawa ya ufumbuzi ya matatizo ya watu/wananchi wa Tz ni dawa kupatikana kwa chni ya %10? bora waache kutumia hayo majani mapama maana haya wasaidiiiii
   
Loading...