Kamati za bunge:hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati za bunge:hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Phillemon Mikael, Dec 4, 2010.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  1. Finance and Economic Affairs
  2. Public Accounts
  3. Social Services
  4. Social Welfare & Community Development
  5. Constitutional, Legal and Public Administration
  6. Standing Orders
  7. Parliamentary Privileges, Ethics and Powers
  8. Energy and Minerals
  9. HIV/AIDS Affairs
  10. Infrastructure
  11. Public Corporation Accounts
  12. Miscellaneous Amendments
  13. Land, Natural Resources and Environment
  14. Agriculture, Livestock and Water
  15. Foreign Affairs, Defence and Security
  16. Industries and Trade
  17. Local Government Accounts
  Hizo ni baadhi ya kamati za bunge.....hatutaki mbunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano.....tutawakubali kwenye washirikishwe kwenye kamati zenye masuala ya muungano....mfano kamati kama ya serikali za mitaa au madini watakuwa wanafanya nini huko .... kuna baadhi ya kamati wao kule zanzibar tayari zipo kwenye serikali ya mapinduzi.........wenzetu wanataka kufanya siasa hapa lakini wajuwe watu wameamka na wanajuwa mipaka ya kila mmoja kwenye muungano wetu.....
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180

  Afu unataka mafuta yalio Zanzibar. MiAfrika bana, kazi kugombana kila siku.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa faida ya mjadala mkuu Phillemon je hiyo kauli ya "hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano" ime tolewa na hizo kamati za Bunge au ni kauli yako wewe kama wewe? Nauliza hivi ili kusiwe na confusion yoyote endapo huu mjadala utaendelezwa.
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nadhani mkuu kwa kukusaidia hii ni kauli yake bwana Phillemon Mikael kama yeye na ameitoa kama yeye kwa chuki zake dhidi ya wazanzibar. He has a point on one side kwasababu some aspects tungelikuwa na serikali ya Tanganyika tungelidai hayo. However kama serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kama kelele za mlevi haziamshi mwenye nyumba kwani Tanzania ni muungano wa zanzibar na Tanganyika. Hivyo basi nadhani nguvu zake bwana Philemon angelizielekeza zaidi kudai katiba mpya na utambuliko wa serikali ya tanganyika than kudai kamati zisiguzwe kwani anapoteza nguvu zake bure.
   
 5. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukisikia upunguwani au kuchaganyikiwa ndiyo huko. Kama una ubavu si sema basi hutaki wabunge wa Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Pengine mwenzetu hili jina la Tanzania linakufanya ulewe ulevi wa tende!!!!!!!!!. Kama unaliona ni zuri-basi- lisingekuwa zuri kama hamna neno Zanzibar.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  O.k. sasa nimeelewa. Maana heading ilikuwa ina changanya kidogo. Well kama ulivyo sema mkuu hii ishu ni tata na dawa pekee ni kuwa na katiba mpya kama kweli muanzsiha thread ana taka kuona hilo analo taka yeye. Kwa sababu Bunge la sasa ni la Jamhuri wa Muungano kwa hivyo chini ya katiba ya sasa Wazanzibari wana kila haki ya kuwa katika kamati hizo. Ngoja kuna thread naanda kama pendekezo ya mfumo mpya wa serikali yetu regarding Muungano kama katiba ikibadilishwa. Ngoja niimalizie niitundike.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Kwani kiapo walichokula wabunge toka Zanzibar kilikuwa na cha tofauti na kile walichokula wale wanaotoka bara?
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180

  Kwanini mashabiki na wanachama wa Chadema hamuwapendi watu wa Zanzibar?
   
 9. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Unajua baadhi ya waTanzania ni Paranoia. Kwanza anaonyesha kuwa hata mambo ya Muungano hayafahamu. Anaposema Foreign Affairs, defense and security, sijuhi kama amesoma historia ya muungano wa Tanzania. Hayo ni mambo ya awali kwenye muungano.

  Vilevile wabunge wote wana haki sawa. Lile ni bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Na mtu mwenye sifa achukue nafasi. Anyway, katika kipindi hiki ambacho tunakaribia kutumia pesa ya EAC, nina wasiwasi kuwa watanzania watashindwa ku-compete katika fani zote isipokuwa ya ubishi na ushabiki.
   
 10. k

  kayumba JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu naogopa huu usijekuwa ubaguzi, je ikitokea wakaunda kamati ya mazingira ya bahari hamtasema wabunge wasiotokea kwenye mwambao wa bahari wa siingie kwenye kamati hii?. TAFAKARI
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu najua hili umelitoa kwa kukurupuka.
   
 12. K

  Karlmakeen Member

  #12
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Phelemon unaposema hatutaki, unamaanisha kina nani hasa? Wewe ni mbunge au spika?
   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Anamaanisha yeye na mashabiki wenzake wa Chadema.
   
 14. M

  Makemba Member

  #14
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano"
  Tunalenga off target!
  Tudai katiba mpya itakayorudisha Tanganyika,madai km haya:
  sijui wabunge wa zanzibar wanachaguliwa na wapigakura wachache yatakufa kabisa!
  Tatizo ni la katiba,tumo katika Muungano ambao wengi hatuuridhii!
  Tusiwalaumu Wanzanzibari kwani wao wenyewe Muungano hawautaki kama ambavyo wadau wengi wa JF wasivyoutaka!
  Lkn kuna ving'ang'anizi!Kwanini tunavunja tawi badala ya kung'oa shina?
   
 15. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #15
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280

  - Sitaki kuamini kwamba aliyeandika hivi ni mbunge, maana ina maana inahitajika elimu kubwa sana kwa wabunge wetu kuhusu nini maana ya kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri, kwamba yeyote anayeingia mle kama mbunge ana haki sawa na mbunge yoyote yule kikatiba ya Jahmuri, meaning kwamba anaweza kushika nafasi yoyote kuanzia ndani ya bunge mpaka taifa, ambayo katiba inataka ishikwe na mbunge regardless ametokea Bara au Visiwani,

  - I mean kama huko Dodoma, tuna wabunge wenye mawazo kama haya hapa juu, then tuna safari ndefu sana hili taifa!


  William.
   
 16. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  There is no such thing as mbunge wa zanzibar wewe... There are only MPs wa URT a part of which is znz. Acheni mada zakipuuzi
   
 17. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Phillemon is a very smart guy. Nashangaa kabisa kumuona naye anajiingiza kwenye ushabikia wa kibaguzi kuwabagua wazanzibari. Wazanzibari hawana makosa, Katiba iliyopo ndo inawaruhusu ku-assume haki zote ambazo wabunge wanaotoka bara wanazipata pia. Kama unataka hilo lifanikiwa, basi shiriki kwenye zoezi la kuishinikiza Serikali ifanye mabadiliko ya kikatiba. Otherwise, mkuu unatuaibisha. Brain kubwa yote hiyo bado unafikra za Kikaburu, mkuu? "Kaburu ni Kaburu tu." Awe kaburu mweusi anayeitwa Phillemon Mikael, au Kaburu mweupe anayeitwa Mikael Phillemon. "Na dhambi ya kubagua ni kama kula nyama ya mtu. ukianza hauchi (Nyerere, 1995)." Leo unabagua wazanzibari, nadhani kesho utaanza kubagua wajita na wakerewe. Hivi kweli kwa style hii Tanzania itapona?
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mimi naona huyu mkuu Phillemon ame underestimate wana JF. Nadhani kwa mawazo yake anaona majority ya wanaJF ni Wabara basi chochote kinacho tetea "Ubara" kita pigiwa makofi na kugongewa thanks nyingi. Watanzania ni zaidi ya uwajuavyo. Ni watu very fair na mara nyingi humpa mtu stahili yake.

  Anyway kuhusu mada hapo juu kama nilivyo sema awali Bunge ni la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Last time I checked Wazanzibar nao ni Watanzania. Japo katiba yetu hasa linapo kuja swala la muungano lina nyufa nyingi ila kusema Wazanzibar wasiwepo kwenye baadhi ya kamati za Bunge la muungano ni sawa sawa na kusema huwa tambui kama Watanzania wenzako.

  Mimi binafis kusema ukweli nashauri na napigania tuwe na serikali moja tu ya Kitaifa. Si mbili, wala si tatu! Huku kuwa na hizi serkali ambazo ni subset za serikali kuu naona kuna kufanya watu wajione kwamba kuna "wao" na "sisi". Tutengeneza serikali moja halafu tuanze nation building tujione kama wamoja.
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  And that is the problem with these so called "smart guys". One can use his smartness for both good or evil. Smartness is like a gun. It can be used by both a police and an arm robber. Both have skills with it but only one uses it for good. Mr. Phillemon may be a smart guy as you say but the real question is how does he use his smartness?
   
 20. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia wazenj hawapendi muungano?wao ndio wafaidika no 1 wa huu muungano,cheki walivyojitwalia ardhi,cheki idadi ya wabunge,cheki mawaziri nk yaani muungano unawaacomodate kuliko ambavyo zanzibar ingewaacomodate
   
Loading...