Kamati ya Zitto yamwita Katibu mkuu Hazina! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Zitto yamwita Katibu mkuu Hazina!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maxence Melo, Mar 25, 2011.

 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Leo kamati ya hesabu za mashirika ya umma (POAC) imemwita Katibu mkuu Hazina kufafanua kwanini Serikali haikupata kodi kutokana na uuzwaji wa Zain kwenda Airtel.

  Aidha, wanataka atoe ufafanuzi sababu za mfuko wa PSPF kuwa katika hali mbaya kifedha ambapo inakabiliwa na deni la serikali la Trilioni 3.

  Tunategemea mengi kwa waandishi watakaohudhuria.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yetu macho ...
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa taarifa mkuu, lakini sitarajii jipya huko.

  ni yaleyale tu. wanataka kutengeneza headlines za magazeti ya kesho.
   
 4. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kah!!! Hatukubali kabisaaaa hapa lazima pachimbike au kieleweke
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mahesabu ya Zain yatakuwa yaliwekwa vizuri kiasi cha kuinyima serikali yetu isiyojua kitu kupata kodi.
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hizi kamati zina nguvu kiasi gani? mbona naona zinadharaulika na hao watendaji? Kwani ukusikia NSSF wakimkejeli Zitto na kamati yake kuhusu kuzuiwa kuuza mali ya General tyre?
  Isije kuwa usanii mwingine! Ni mawazo yangu tu. I stand to be corrected.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haukubali nini?
  Kuitwa na kamati ya zitto au airtel kutokulipa ilipo nunua zain?
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,631
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280
  tatizo pande zote mbili zishajua yatokanayo... magazeti yataandika and then what?

  we are doomed!!
   
 9. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi kamati za bunge wakati mwingine inaonekana zinaingiliana; suala la kutokusanya kodi sitahiki, na vile vile kutofuatilia urejeswaji wa madeni ya serikali inaelekea ni la kamati ya hesabu za serikali inayoongozwa na Cheyo. Hata hivyo kama kamati hiyo imalala usingizi siyo vibaya kamati ya Zitto ikaisaidia. Hata hivyo, na kamati ya zitto nayo inazembea kufuatilia mabilioni ya fedha yaliyolipwa na BOT kwa niaba ya makampuni binafsi iliyodhamini kwenye vyombo vya fedha na yakashindwa kulipa madeni hayo.
   
Loading...