chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,977
- 20,616
Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi.
Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao
Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala OCD au OCS wala Afisa usalama wa mkoa au wilaya
Nashauri uchunguzi ufanyike mara moja na hatua zichukuliwe, tujue kama uongozi wa mkoa ulimsusa kiongozi wa kitaifa au kiongozi huyo alikiuka protokali za ziara