Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza ichunguzwe kwa kushindwa kutoa ulinzi na kwa kumsusa ndugu Waitara, Naibu Waziri

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,959
20,532
Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi.

Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao

Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala OCD au OCS wala Afisa usalama wa mkoa au wilaya

Nashauri uchunguzi ufanyike mara moja na hatua zichukuliwe, tujue kama uongozi wa mkoa ulimsusa kiongozi wa kitaifa au kiongozi huyo alikiuka protokali za ziara
 
na hata wahuni waliojaribu kumfanyia shambulio la mwili na kumpora cm na fedha wakamatwe.
 
Mbona taarifa yako haijitoshelezi. Ungetuarifu kilichotokea, lini, wapi, kilitokeaje, na kwa nini kilitokea.
 
na hata wahuni waliojaribu kumfanyia shambulio la mwili na kumpora cm na fedha wakamatwe.
Kabisa.....yaani tumetumia gharama kubwa kumuandaa agombee kwa Heche, tumemuelekeza awe anaongea kijasiri na kibabe ili aendane na mazingira ya Tarime,aondokane na Ulaini wa-Daslam, halafu anakaribia kudundwa na wanawake?

Wana Tarime watatuelewaje kuwapelekea mgombea anayepigwa na wanawake wa kikerewe na kisukuma?
 
Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi.

Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao

Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala OCD au OCS wala Afisa usalama wa mkoa au wilaya

Nashauri uchunguzi ufanyike mara moja na hatua zichukuliwe, tujue kama uongozi wa mkoa ulimsusa kiongozi wa kitaifa au kiongozi huyo alikiuka protokali za ziara
Hiyo aliingilia wizara ya Mh Lukuvi,na Mh Lukuvi wizara yake imetulia kimya na ni mchapa kazi na tatizo Hilo Mh Lukuvi angelimaliza vizuri na si ajabu analijua na ameanza kulifanyia kazi. Sasa huyu Naibu waziri kakurupuka Kama chadema walivyo na bado anazo Tabia za kichadema Hadi sasa.iliingia mkoa wa mwanza bila kuzingatia protocol ndio maana anaonekana site yeye na bendera ya taifa tu.Kati ya mkoa smart kwa taratibu za kupokea viongozi ni mkoa wa mwanza.sada yeye sijui alitokea upande gani na uongozi wa mkoa hauna habari.
 
Achunguzwe yeye kwanza kama alifata hatua zote za protocol usikute alichemka mwenyewe au alikuwa anamfukuzia demu wake. Haiwezekani msafara/mkutano wa naibu waziri kusiwe na escot ya polisi na asiambatane na wanyeji wake ambao ni RC/ DC
 
Huyu jamaa siku hizi amekuwa anaongea kama punguani,sijui huko wizarani anafanyaje kazi.......enzi za kinana tungesema mzigo
 
Back
Top Bottom