DAR: Kamati ya Ulinzi na Usalama ikiongozwa na RC Makonda yatinga Clouds Media kutoa pole kwa ajali ya moto

Ama kweli hakuna jipya chini ya jua nimeamini,ivi nebukerneza history ikoje?, eti bibilia inasemaga mtoto wa nebukerneza alitumia vikombe vya hekalu (matumizi mabaya ya madaraka) naskiaga tena suleman nae alifanya yake, ahha na herode na pilato mchanato sijui wako wapi? Mtawala tawala kwa utaratibu uliowekwa ukifata yako Mungu ndo mtumbuaji
 
kwani watu wangesema sana siunaona hakuja hata kutupa pole bado ana kinyongo huyo.
Mkuu Unafiki haununuliwi,
Unapatikana tu Bure,
Bahati mbaya sana Unaweza kumuona mtu usoni ana hali gani ila huwezi kuona rohoni au moyoni mwake
 
Back
Top Bottom