DAR: Kamati ya Ulinzi na Usalama ikiongozwa na RC Makonda yatinga Clouds Media kutoa pole kwa ajali ya moto

mchumihalisi

Member
Oct 8, 2015
28
98
Nimepishana na msafara wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar ukiongozwa na Mwenyekiti wake RC Makonda muda huu..!

Nadhani ni kwenda kutoa pole kwa tukio la moto lililotokea jana.
----------

Saa 2 baadaye..

Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda amefika Ofisi za Clouds Media akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama kutoa pole kwa ajali ya moto uliounguza sehemu ya jengo hilo..

MAK.jpg
MAKONDA.jpg


Video..
 
Nimepishana na msafara wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar ukiongozwa na Mwenyekiti wake RC Makonda muda huu..! Nadhani ni kwenda kutoa pole kwa tukio la moto lililotokea jana.
Kiongozi ni viashiria gani vimepelekea uone kuwa huo ni Msafara wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar?
 
Nimepishana na msafara wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar ukiongozwa na Mwenyekiti wake RC Makonda muda huu..! Nadhani ni kwenda kutoa pole kwa tukio la moto lililotokea jana.
Wanatengeneza matukio halafu wanawahi kwenda kutoa pole...

Mwaka 1932 Adolf Hitler alichoma moto jengo la Bunge la Ujerumani halafu akawahi kutoa pole na kuwatuhumu wapinzani, hivyo hivyo mwaka 1976 Idi Amini alimwua Jaji Mkuu wa nchi hiyo halafu akajitokeza haraka kulaani tukio hilo na kuahidi kuwa wahusika wote watakamatwa na watakiona cha mtema kuni, maskini kumbe alishamla nyama na baadhi ya viungo vya mwili wa huyo Jaji alivihifadhi kwenye jokofu kwenye moja ya vyumba za Ikulu ya nchi hiyo!
 
Leo asubuhi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ametembelea ofisi za Clouds Media Group, na kuwapa pole kwa tukio lililotokea jana la kuunguliwa na ofisi yao.

Kwa hili nampongeza sana Makonda ameonyesha utu.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-11-22-11-44-37-1.png
    Screenshot_2017-11-22-11-44-37-1.png
    166.4 KB · Views: 84
  • Screenshot_2017-11-22-11-44-40-1.png
    Screenshot_2017-11-22-11-44-40-1.png
    112.6 KB · Views: 141
  • Screenshot_2017-11-22-11-44-45-1.png
    Screenshot_2017-11-22-11-44-45-1.png
    126.7 KB · Views: 120
  • Screenshot_2017-11-22-11-44-48-1.png
    Screenshot_2017-11-22-11-44-48-1.png
    155.4 KB · Views: 79
  • Screenshot_2017-11-22-11-44-48-1.png
    Screenshot_2017-11-22-11-44-48-1.png
    155.4 KB · Views: 87
Mwaka 1932 Adolf Hitler alichoma moto jengo la Bunge la Ujerumani halafu akawahi kutoa pole na kuwatuhumu wapinzani, hivyo hivyo mwaka 1976 Idi Amini alimuua Jaji Mkuu wa nchi hiyo halafu akajitokeza haraka kulaani tukio hilo na kuahidi kuwa wahusika wote watakamatwa na watakiona cha mtema kuni, maskini kumbe alishamla nyama na baadhi ya viungo vya mwili wa huyo Jaji alivihifadhi kwenye jokofu kwenye moja ya vyumba za Ikulu ya nchi hiyo!

Nafananisha na tukio la kuungua moto kwa Clouds Media kuwaka moto. Makonda ananguvu ya mamlaka Clouds hakuna anayeweza kumzuia. Achilia mbali nafasi yake kama mkuu wa mkoa pia ni mwenyekiti wa mkoa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa unafikiria ni nani atakayeweza kumzuia.

Anatekeleza matukio ya kinyama kwa siri na baadaye anarudi kutoa pole na kulia machozi ya kilio cha Yatima.

Clouds they should have to be very smart sababu Makonda anatafuta mbeleko ya kujibebea na kujisafisha huu mchezo atawaangushia upande wa Clouds.

Niliyoyaona baada ya Leo ni kwanba Fiesta inaweza ikaongezewa muda hata lisaa limoja mbele au mawili na lengo la Clouds ni kupiga Fiesta hadi asubuhi. Msimamo wa awali wa Makonda matamasha yanaisha saa sita kipi kimmembadilisha kuongeza muda?

Clouds bado mna nafasi ya kufanya tamasha kwa masaa yale mliyopangiwa kufanya tamasha hadi saa 7 kwa Amri ya Makonda ni kuicheza ngoma yake bila kujua.

Anyways baada ya miaka 5 Makonda atakuwa Ni mtu mwenye nguvu zaidi ya hapa wengine jiandaeni kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom