Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Ifuatayo ni sehemu ndogo ya hotuba ya aliekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Mashirika ya Umma(POAC), Zitto kabwe aliyowahi itoa Bungeni mwaka 2010.
7.2.10 Mheshimiwa Spika, kwa kuwa Mkataba baina ya Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) na Star Times International Communication una mapungufu kadhaa ya kisheria na ambayo yamebainishwa na Mkaguzi wa Hesabu wa TBC baada ya kuchambua Mkataba na Taarifa ya Hoja za Ukaguzi,na kwa kuwa mapungufu hayo yanaweza kuwa na athari katika utendaji wa TBC kwa siku zijazo , kwa hiyo basi Kamati inapendekeza kuwa, Serikali iupitie upya Mkataba huo ili kuainisha maeneo ya maboresho, aidha Serikali ifanye utaratibu wa kuangalia namna nzuri ya kutoa fedha kwa uendeshaji wa TBC ili kiwe chombo cha utangazaji wa Umma chenye kujiendesha.