Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 72
Habari zilizonifikia kutoka Dodoma zinasema kwamba JK atasimamia kikao cha nidhamu cha CCM.... inaonekana kunakauwezekano EL ana kina karamagi wakalamba dume. Tunasubiri maana everything is still sketchy at the moment. Kuna yeyote mwenyetaarifa zaidi jamani?