Kamati ya Miss Tanzania: Mshindi wa pili ataiwakilisha nchi katika shindano la Miss World 2021

Miss Tanzania,hua ina magumashi kweli kweli!

Wasichana waliowahi pitia huko,ni wachache sana,hadi leo wapo kwenye chart,wengi wao walishinda kwa kugawa mbususu,matokea yake,hata hawajulikani wako wapi hadi leo,au wapo lakini skendo zao sasa! Ni noma
Mwingine si huyu nani sijui, mke wa 'deceased' Mengi.
Alafu hili neno 'mbususu' mlirasimishe liwe kiswahili sanifu kabisa, maana limetawala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" The Look" stupid management.......soon watajitoa......alichofanyiwa yeye anataka wote wafanyiwe.....pesa za urithi......
 
Back
Top Bottom