Mwingine si huyu nani sijui, mke wa 'deceased' Mengi.Miss Tanzania,hua ina magumashi kweli kweli!
Wasichana waliowahi pitia huko,ni wachache sana,hadi leo wapo kwenye chart,wengi wao walishinda kwa kugawa mbususu,matokea yake,hata hawajulikani wako wapi hadi leo,au wapo lakini skendo zao sasa! Ni noma
Mwingine si huyu nani sijui, mke wa 'deceased' Mengi.
Alafu hili neno 'mbususu' mlirasimishe liwe kiswahili sanifu kabisa, maana limetawala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitenge TV mana Kutenge anaangazia sehemu mbalimbali za Dunia akiwa eneo husikaAiseeeh
Anatafuta umaarufu kupitia dislikes.Hivi huyu Kitimoto ni fala gan ana dislike comment zangu hovyo?!
Eti kosa lake ni kuhudhuria event bila kujulisha miss Tanzania pia wakawa hawataki afanye matangazo bila kutoa percentage Kwa hyo kamatiNahisi huyu atakuwa ametoa mbususu
Kitufe cha dislike kinapatikana upande gani?Anatafuta umaarufu kupitia dislikes.
Achana nae
Hashim Lundenga ndio anajua "uzuri" wa kuandaa haya mashindano.Binti inaonekana aligoma kuachia kipochi manyoya watu wakisasambue.....ila ile mijanaume kwenye Miss Tanzania inabidi iwaachie wanawake wa run shindano lao.
Anaishi wapi huyu binti kwa sasa?Mshindi wa Pili wa Miss Tanzania, Juliana Rugamisa ndiye atakayeiwakilisha nchi kwani mshindi wa kwanza,Rose Manfere amekosa vigezo.
Kamati imesema kazi ya BASATA ni kutoa kibali, lakini wao ndio wenye leseni.
View attachment 1858767
Anajua utamu wa kuandaa haya mashindano....kuosha rungu ndo allowance😂😂😂😂Hashim Lundenga ndio anajua "uzuri" wa kuandaa haya mashindano.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mitandao kama Instagram ukifanya ushenzi kama huu system inakublock automaticallyKitufe cha dislike kinapatikana upande gani?