Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,515
Atatuma kuwapiga mabomu mashangazi wa mabeberu Hadi wachakae
Nikiambiwa nichague vikwazo au ccm ntachagua ccm, mzungu au JPM ntachagua JPM, Ulaya au Tz ntachagua Tz. Hilo halimaanishi kwamba sina mashaka na matokeo ya uchaguzi. Ushindi wa ccm una mashaka.Upinzani unaotoka nje kila inapoletwa hoja ya maana bungeni kushindwa ulivyoshindwa sio jambo la ajabu.
Upinzani unaosusa kijinga tu kupigwa chini na wananchi lilikuwa ni jambo la wakati tu.
Magufuli alieleweka kwenye kampeni hao wazungu wanakariri maisha wakiongozwa na ego ya kujiona wao ndio binadamu wa kwanza kwa ubora.
hakika mkuu. wamdabue aliyehusikaKunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.
Mmenyolewa kiduku. Bado
Baada ya kuwafukuza kilifuata nin?Mkuu haya mambo ni madogo sana. Nyerere alifukuza mabalozi wa huko huko Ulaya kwa akili zao za kikoloni za kipumbavu.
Huwezi kuipangia nchi huru ifanye nini na isifanye nini. Magufuli kiburi anacho cha kutosha tu.
Kwanini mchato ulidanganya?Hii ni sawa na mwenye kadi 2 za kiliniki.Hiyo ni mikwara mbuzi tu bwashee!
Utapewa majibu yote vuta subira.Msaada wa fedha ya kupambana na Covid toka kwa Mabeberu mmetumiaje?
Idiotic commentInaonekana hujui maana ya udhalimu wewe...na ni wazi hujasoma kwani Kama ungesoma ungeweza kutambua udhalimu wa wazungu...na Kama umesoma umekaririshwa tu ...stupid...
Tanzania tuna Mungu tulishirikisha viongozi wa dini kubwa waongee na Mungu kuwa anataka nchi raisi ikabidhiwe kwa mashoga na wasagaji wa ndani au wa nje au watetea ushoga na usagaji wawe CCM, chadema etc au wawe kawe au ubelgiji nk? Akakataa
Hayo yanayoitwa udikteta ni Gia tu ya kishenzi ya wazungu kutaka kuingilia siasa za ndani za mataifa mengine.Bukililoooooo lo! Bado uko katika Enzi za Nyerere! Amka! International relations and world politics zimegeuka sana. Exactly, tangu mauaji ya Rwanda imeamulika kuwa hii 'haki ya kutoingilia' nchi yeyote ndiyo ilifikisha huko. Hivi leo, 'jamii ya kimataifa' ina haki ya kujiingiza pale inapoona dalili za udikteta na ufashisti zinachomoza…..hawangojei tena ifikie kama Rwanda. Soma kitabu cha Kofi Anan 'The right of intervention'
Mrudishe pesa za watuKwa hiyo wanataka tuwe na Corona?
mwizi Wa kuxa huvu
Hovyo! Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
Unawalaumu bure tu.Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Sorry kwa kujibu swali kwa kuuliza swali....Hivi kwenye hili nani ambaye ataumia haswa??
Nani aliilazimisha tz iwe na vyama vingi??Hayo yanayoitwa udikteta ni Gia tu ya kishenzi ya wazungu kutaka kuingilia siasa za ndani za mataifa mengine.
Demokrasia wanayoiongelea ndio hiyo ya kishetani yenye masharti ambayo ni kufuru kwa Mungu.
Mashaka miaka yote huwepo.Nikiambiwa nichague vikwazo au ccm ntachagua ccm, mzungu au JPM ntachagua JPM, Ulaya au Tz ntachagua Tz. Hilo halimaanishi kwamba sina mashaka na matokeo ya uchaguzi. Ushindi wa ccm una mashaka.