Hovyo Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!