Kamati ya maadili yakutana na kituko; Jaji msanii aangua kilio huku akiomba msamaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya maadili yakutana na kituko; Jaji msanii aangua kilio huku akiomba msamaha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kama ukisikia adithi za abunuwasi ndio hiz o zimewatokea tume ya maddili pale walipokutana na jaji msanii wa kike aitwae atuganile flora wa mahakama ku kanda ya dar es salaam wakati akijitetea kwa nini akujaza fomu

  jaji huyo alishindwa kufanya hivyo pale alipoulizwa swali nakuanza kuangua kilio mpaka mwisho ..msanii huyo wakati akiangua kilio huku akisema mi sina mali ya kutisha kuacha kujaza jamani nisameheni nimepititiwa uwiiiiiiiiiii hiiiiiiiiiiiiii mama yangu mzazi kazi ndio kila kitu changu nisingeacha kujaza mimi alisikika mama huyo,,jaji huyoa alisema kazi ndio maisha yangu jamani watotowangu wanategemea kazi hii siwezi kudharau mtu huku akeiendelea kulia

  jaji huyo alisimama tena na wakatii akianza kujitetea akaanzisha kilio tena kilichofanywa tume ya maadili kutamka siku maalum ya kumuita kwa kuwa akuwa tayari kujibu huku analia

  kama serikali,rais mawaziri ni wasanii unatarajia wabunge,majaji kama hawa watafanya nini??like dady like daughter

  si mchezo tume mtakumbana na mengi tu yanakuja hiyo ni mwanzo
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  anamuiga Pinda ili nayeye wamuonee huruma.....
   
 3. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  IABU, Huyu Jaji anategemewa atende haki na kuisimamia. Akumbuke kuwa amewafunga wengi, je walipolia aliwaachia? Si alitenda kazi yake kama sheria inavyotaka. Tulisema kuwa Mh. JK kuteua Majaji (nafasi nyeti kama hiyo) kwa mtindo wa UPE ni hatari. huyu kweli anatenda haki kweli. Tulisema-Uhaba wa madaktari bingwa sio warrant ya kumfanya Medical assistant aende kufanya heart surgery, ataua watu. Ndicho alichikifanya JK kwa majaji aliowateua karibuni (sio wote please, wengine ni wazuri tu)
   
 4. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli huko kuna vituko mara wengine form ilichukuliwa na shetani......
   
 5. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ilishawahi kujadiliwa humu kuwa uteuzi wa majaji na wengineo kwa "uswahiba" unaleta majaji kama hawa. Majaji "vihiyo" wa sheria, wakosevu wa busara, etc etc
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni aibu sana hii. Yeye anawaweka watu kiti moto kila siku lakini yeye kidogo tu anaanza kulia. Its funny kwamba amehojiwa na jpo la wanasheria wenzake akaanza kulia lia. Nadhani watu wanaofanya kazi serikalini wanajisahau sana. Kwa mtu aliye Private sector viti moto ni kila siku toka uko junior staff hadi unakuwa MD huko wew ni kudungwa viti moto kwa kwenda mbele. Mama wa watu hajawahi hata kufanyiwa interview masikini alipotoka UDSM akajaza form akawa hakimu.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hivi hii tume ilipomuita Mbowe alijitetea nini vile?
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama kawaida yake anatafutia watu ban ili abaki yeye na moderator!!hoja ya msingi hapa ni jaji aliyelia mbele ya kamati ya maadilli,yeye naye anazua hoja tofauti kabisa,huyu anataka **********nini!!!!!!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Incompetent judge,analia ili iweje?badala ya kujenga hoja za kisheria!!
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  KUfanya kosa si kosa!kosa ni kurudia kosa,yeye ni kituko zaidi ya pinda!!
   
 11. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wanasheria wa siku hizi ni kiboko... wanajua kuwahadaaa majaji na wabunge ili waonewe huruma...pinda ni mwanasheria alilia bungeni ili aonewe huruma na huyu frola atuganile naye ni mwanasheria tena jaji kabisa amelia mbele ya tume ya maadili ili aonewe huruma sasa wanatufundisha nini sisi wananchi wa kawaida? subirini utakuwa ni mwendo wa kulia lia tu mahakamani.
   
 12. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ila mizengo naye noma ni mwanasaikolojia wa ukweli manake alijikusanyia mi-sympathy cku ile!!!
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inauma sana aisee, sasa mwisho tunaishia kuwaona majaji kama majagi tu.........
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2013
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Bado ni jaji huyu mama?
   
Loading...