Kamati ya Maadili: Askofu Gwajima ni Jeuri

nyie acheni bla bla kama hamna la maana muwe mnakaa kimya mnajiabisha wenyewe
 
Kamati ya ya nidhamu ya bunge imetoa hukumu kwa Gwajima ya hasira.
Mwakasaka hafai ,
Itambulike hata hii Jonson & Jonson's hapo baadae tutapigwa jab nyingine tu,pamoja na kuaminishwa ni jab moja.

Hapa inaonekana wanafurahishwa wafadhili,aibu sana
Namalizia kwa kusema hizi chanjo ni za majaribio tu,full stop
 
Wapuuzi sana hawa chama kimeshachoka hakuna namna hawawezi kuendelea!
 
Kwa hili niko upande wa Gwajima ,

Kama mtumishi ni lazima awe mfano wa kuigwa kiimani na kondoo wake!

Serikali imeshindwa kutambua kwamba Kuna Gwajima wawili ndani ya mtu mmoja, Gwajima ambaye ni mbunge, na Gwajima ambaye ni pastor!

Mbona wakat wa mwenda hawakumbughudhi?

Wabunge na bunge Acheni unafiki
Nimemsikia Spika akihitimisha hoja za kamati iliyomuhoji Gwajboy akisema ati ;" kwa nini wakati wa Magufuri hakutenda anayotenda leo, kisa ni kwa kuwa mama anatawala" Nikacheka sana mana hakujiuliza wao mbona hawakufanya hivi wakati wa Magufuri?! au kwa kuwa sasa mama anatawala. Usipocheka sasa jitafakali.............
 
Kamati ya Maadili imesema kitendo cha Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima kukataa vitu alivyoandaliwa kama ujeuri.

Gwajima alikataa kutumia kiti na kipaza sauti, siku ya nyingine alikataa kukaa chini kama alivyoelekezwa.

Aidha amesemwa kutojibu maswali kadiri yalivyoulizwa bali aling'ang'ania kuwa kiongozi wa dini.
Kama walijua kuwa Gwaji ni jeuri kwa nini waliiba kura ili Gwaji ashinde ubunge?

Suburini aanze kuwatumia mapepo ndipo mtajua mlifanya big mistake kumpa Gwaji ubunge 😅
 
Kamati ya Maadili imesema kitendo cha Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima kukataa vitu alivyoandaliwa kama ujeuri.

Gwajima alikataa kutumia kiti na kipaza sauti, siku ya nyingine alikataa kukaa chini kama alivyoelekezwa.

Aidha amesemwa kutojibu maswali kadiri yalivyoulizwa bali aling'ang'ania kuwa kiongozi wa dini.
Walimpa Ubunge wa Nini? Huyu Gwajima hakustahili kuwa Mbunge ni Mtu mwenye kujidai anajua Sana. Yaani angekuwa na Elimu ya Medicine Nchi ingewaka Moto.
 
Nimemsikia Spika akihitimisha hoja za kamati iliyomuhoji akisema ati ;" kwa nini wakati wa Magufuri hahutenda anayotenda leo, kisa ni kwa kuwa mama anatawala" Nikacheka sana mana hakujiuliza wao mbona hawakufanya hivi wakati wa Magufuri?! au kwa kuwa sasa mama anatawala. Usipocheka sasa jitafakali.............
 
Hivi kule mjengoni wote ziko sawa au wengine wanajaza inkama tu? Ni ajabu wingi ule uwe na mawazo ya ina moja, hata kama kuna posho na marupurupu makubwa
 
Baba Askofu Gwajima hadi hapo ameishaipunguza makali bunge,kwa kuwa wanamugopa asiwachanechane kwenye mahubiri ya jumapili.
Baada ya hilo tusubiri Chama cha CCM kitamfanya nini ni baada ya Polisi kutoonyesha nia ya kumshtaki.
Hadi hapo ni kama anasema niguse ninuke.
 
Back
Top Bottom