kamati ya kuchambua barua za watumishi wanaohama mikoani huundwa na kina nani?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
864
535
Ndugu wana JF. Napenda kufahamu muundo wa kamati ya kuchambua barua za watumishi wanaohama mikoani. Kamati hiyo huundwa na watu wangapi na wenye nyadhifa zipi serikalini? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom