Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

Huyu mzee miaka ya sabini alilazimika kulikana jina lake Ernest maana hakuona maana yake na majina yake yakawa mwesiga baregu kwa kuapa mahakamani. Huyu mzee ni noma.
 
I am desperate na wanaoapa kwa vitabu vya dini kwa kuwa wote wenye scandals waliapa hivyo labda ndicho alichoogopa na kubaki natural. Big up Prof.
 
akifa utasikia misalaba inamfuata. kwaya zinaibwa. misa inafanyika. mwili unaagwa kwa kwaya. hii ndio tz yetu
 
Hello Bandugu:

Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi

Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!

Humu inaonekana siku hizi wengi ni vijana wa juzi,waheshimiwa ni hivi:

1:Baregu
2:Kingunge
3:Jenerali ulimwengu
4:Salim A. salim(siku hizi karudi kwenye uislam nasikia)

Hawa ni waumini wa ujamaa kama Mao Tsetung yule kiongozi wa china na wachina kiujumla,hawana dini,Baregu alipokuwa masomoni marekani walikua pamoja na Lipumba na Dk Athumani mfutakamba sasa hivi waziri sijui wa kitu gani kwenye serikali ya jakaya,wakiwa huko enzi hizi walikua wakibisha mpaka usiku wa manane na prof lipumba,Baregu akitaka tanzania iende moja kwa moja kwenye ukomunisti na kupingana na nyerere ambae hakutaka kwenda moja kwa moja huko huku lipumba akungana na nyerere,wote walikua makada wazuri wa TANU,toka chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kwenye TANU YOUTH LEAGUE pale mlimani Jakaya alikua Mwenyekiti huku Lipumba akiwa katibu mkuu na wakati huo huo maalimu seif akiwa kiongozi MSAUD na Lipumba akiwa kiongozi hapo msaud pia!
 
Kila binadamu anadini yake, hata Baregu ana dini yake ambayo haina uhusiano na biblia au Quraan
Kweli kabisa. Hivi kabla ya biblia na quran waafrica tuliabudu nini. Kwa sababu biblia na quran tuliletewa tu.
 
Humu inaonekana siku hizi wengi ni vijana wa juzi,waheshimiwa ni hivi:

1:Baregu
2:Kingunge
3:Jenerali ulimwengu
4:Salim A. salim(siku hizi karudi kwenye uislam nasikia)

Hawa ni waumini wa ujamaa kama Mao Tsetung yule kiongozi wa china na wachina kiujumla,hawana dini,Baregu alipokuwa masomoni marekani walikua pamoja na Lipumba na Dk Athumani mfutakamba sasa hivi waziri sijui wa kitu gani kwenye serikali ya jakaya,wakiwa huko enzi hizi walikua wakibisha mpaka usiku wa manane na prof lipumba,Baregu akitaka tanzania iende moja kwa moja kwenye ukomunisti na kupingana na nyerere ambae hakutaka kwenda moja kwa moja huko huku lipumba akungana na nyerere,wote walikua makada wazuri wa TANU,toka chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kwenye TANU YOUTH LEAGUE pale mlimani Jakaya alikua Mwenyekiti huku Lipumba akiwa katibu mkuu na wakati huo huo maalimu seif akiwa kiongozi MSAUD na Lipumba akiwa kiongozi hapo msaud pia!

Mh...Ok!! So this guys actually know each other huh?
 
Nasikia hana dini
Wabongo bwana! Nyie mnafikiria dini ni Biblia na Kurani tu? Panua uwezo wenu wa kufikiri na mtaijua vizuri dunia. Big up profesa - wafungue macho vipofu.
Mbali ya Kurani na Biblia, wengine wanafikiri uonyeshe kuwa wewe umeapa kikweli siku hizi ni lazima uvae tai tena ya rangi nyekundu!! ru..sh
 
Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.

Kweli mkuu baadhi ya Viongozi wa dini ni walanguzi tu.MIMI NI MKATOLIKI(Ubatizo+Kipaimara) lakini NAMCHUKIA SANA Askofu Kilaini KWAKUTUKARIRISHA KUWA Kikwete Chaguo la MUNGU(2005) kumbe fisadi.KUANZIA 2006 SITAKI KUSADI MANENO YA VIONGOZI WA DINI KWAKUWA WAO NI CHAMBO YA KUFANIKISHIA SIASA CHAFU ZA MAGENGE YA KIFISADI NDANI YA MFUMO WA UTAWALA WA NCHI
 
Ule ulikuwa mtego..wamkatali waone. asinge apa na angejitoa kwenye tume halafu walio baki wangejibeba. Ile tume aliye ishikilia au anaye ifanya kidogo iheshimike ni baregu tu. ajitoe uone kinacho fuata ITV.

isidingo the need kwa hisani ya vasco da gama
 
Kama ingekuwa kuapa bila Quran wala Biblia ni uadilifu, basi Kingunge Ngombale Mwilu asingejimilikisha kituo cha mabasi cha Ubungo.
 
Back
Top Bottom