Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,310
Kamati inayoshughulikia utatuzi wa migogoro ya ndani ya bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kushirikiana na chama cha wanasheria wa Afrika (PALU) imekutana jijini Arusha kuzungumzia mgogoro wa Burundi na kuandaa mapendekezo ya namna ya kupata suluhu yatakayowasilishwa katika kikao cha bunge la jumuiya hiyo litakaloanza mapema wiki ijayo.
Chanzo: Radio One
Chanzo: Radio One