Kamati ya Bunge yaonya Rais kutembea usiku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Bunge yaonya Rais kutembea usiku!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubwajinga, Oct 22, 2008.

 1. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Raisi wetu sasa amekuwa kama mwanafunzi wa shule za wasichana. Badala ya kutibu ugonjwa wanampa tu asprin. Hivi ina maana hawajui ni kwa nini wananchi ambao mwaka juzi tu walimuona JK kuwa ni mwokozi leo wanampiga mawe???

  WaTZ mkae sawa msije mkalimwa risasi, utawala wa mabavu waja.

  Kamati ya Bunge yaonya Rais kutembea usiku
  Na Ramadhan Semtawa


   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Na ndivyo ilivyo.
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kwani shule za wasichana ndio wanafunzi wake wanatibiwa na aspirin tu? ndugu tafadhali. Utawala wa mabavu upo na ulikuwepo, huo utakaokuja labda ndio utakuwa utawala wa kidemokrasia.
   
 4. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Hadi avamiwe ndo ionekane muhimu kumlinda? wangemuua je?

  Kama watu wakiamua kumtenda kitu mbaya watamtenda tu hata akiwa ndani ya kiota chake magogoni.

  Mungu pishilia mbali......
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,556
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Mambo ya kusema kuna nchi naona yatawashinda kwasababu inaonekana huko Tarime wanadai silaha zilikuwa nje nje.
  Huko Arusha saluti kapigiwa Lowassa...Mbeya mawe...Sasa Mh Rais akalale saa 12 jioni?
  Kama rais atakwenda kulala muda huo nachelea wananchi wanaweza kuweka curfew na wao...Usije kushangaa sheria za watanzania kwenda kulala zinabadilishwa hadi hapo itakapotangazwa tena....Ikifika 11 jioni uwe ndani ya nyumba...Huko ndiko tunakoelekea trust..This ni kama it is true kuwa Rais ataenda kulala muda wa jogoo kwenda kulala.
   
 6. Sober

  Sober JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2008
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 289
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ama kweli hii ni Asprini,

  Mwisho watakuja kusema Rais asitoke nje ya Mkoa wa Dar es salaam na Pwani(Bagamoyo). Awe kama kiongozi wa Iraq anayeishia kuzunguka ndani ya The Green Zone. Wakati Saddam mwenzie alikua anatembea mitaani popote pale.

  Hali mbaya...Maumivu ya kichwa huanza poole pole!
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2008
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Masilingi anajifanya kipofu kutoona CCM ilivyowalazimisha vijana wa Tarime kuchukua hatua walizochukua! Nyimbo zile zile za Marato wa ITV
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Huu sasa ni upuuzi... yaani kwa miaka karibu hamsini sasa hatujui ni wakati gani mzuri kwa Rais kutembea au msafara wake kufanya shughuli? Kwa mtindo huo mwisho Kamati ya Bunge itatoa wazo kushauri ni wakati Rais alale! Ni ujuha mtupu!
   
 9. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Maumivu yakizidi, funga Mafisadi wote au wapeleke uhamishoni.
   
 10. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Bora awe analala saa 12 ila wahakikishe saa tisa yeye na mawaziri wake wawe wameshafika nyumbani watuepushie foleni barabarani.

  wanaweza kulipia helikopta ya kumrusha luza wao wa Tarime lakini hawana ya kumtembeza the president wakati wa usiku?

  itakuwaje ikitokea anaalikwa kwenye party za usiku ataacha kwenda eti kwa vile haruhusiwi kutembea usiku kaaaaaaaazi kweli kweli
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  this is soooo funnnyyyy!!
  quo vadis?
   
 12. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo mikoani marufuku kumuandalia rais chakula cha usiku au reception ya usiku? kweli kazi ipo
   
 13. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mimi nilidhani kamati itapendekeza "rais kusimama kusalimia watu hata ikiwa usiku ili msafara wake usishambuliwe kwa mawe na wananchi wenye shauku ya kumsalimu kipenzi wao"

  bwana salva kasema suala ni kwamba wananchi walikuwa na hamu ya kusalimiana na rais na baada ya kumkosa wakapiga mawe msafara, hivyo hapa suala si usiku wala usalama bali kuhakikisha mkuu anasalimiana na wananchi. kazi ipo
   
 14. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni vema usalama wa Raisi uhakikishwe.But hili lakutembea usiku!Kwani kwa maraisi wa awamu tatu zilizopita ilikuwaje?Nafikiri wajiulize ni kwanini msafara wa raisi unapigwa mawe.Kama sababu ni kwasababu anapita usiku opinion yao inaweza kufikiriwa!let them track the source
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Masilingi huyu Masilingi ni mwiba mkubwa katika demokrasia ya nchi yetu.
  Anawasifu polisi kwa kazi gani ya maana waliofanya?
  Yaani polisi wa nchi nzima waliishia Tarime na majambazi wakaanza kazi yao.
  Huko biharamulo foreigner mmoja aliuawa na majambazi na huko kwenye wilaya za Mwanza ujambazi uliendelea kwa wiki nzima na zaidi bila wasi wasi. Kisa, sisiemu wanataka kulazimisha wachaguliwe tarime na yeye eti anawasifu. Kwa kazi ipi?
  Subirini siku nyinyi sisiemu mtakapo kuwa chama cha upinzani, mtayajua. Kwangu rais atembee asitembee usiku hainisumbui. Shauri yake. Alitoa ahadi za uongo na amejiundia mwenyewe maadui. Ninachojali ni kuona huo uongo wanaoita sera unabadilishwa na kuwa ukweli utakaoleta mabadiliko katika nchi hii. Uongo wa EPA, Richmond, Dowans, Meremeta, Tangold na meingine mengi tu, utaendelea kuwaweka katika hali ya mashaka kila mahali hata kama watu hawana shida na uhai wenu. Mtaogopa hadi na vivuli vyenu wenyewe.
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,556
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Inashangaza sana kwa kweli...Sasa ina maana atafanya nini wakati wa kampeni?
  Ama ana mpango wa kufuta uchaguzi? Sioni ni kivipi atarekebisha mambo kabla ya uchaguzi wa 2010 ili aweze kutembelea mikoani kuomba kura bila ya kujificha kagiza kakianza kunyemelea
  Hili linanikumbushia usemi wa MKJJ kuwa something might be coming...Rais hawezi kupewa adhabu hiyo na yeye aache kuwaadhibu wananchi.
  We'll see.
   
 17. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  N ingekuwa mwandishi wa habari kichwa cha habari hii kingekuwa "RAIS AAMURIWA KULALA SAA 12 JIONI" Poor Masilingi sijui mapesa.
   
Loading...