Kamati ya Bunge(PAC) Ikileta Report ya Bungeni Mtasema Lugumi pia kaonewa ikiwa atakua na hatia?

mayaJr45

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
205
Napata ugumu kuelewa kwamba kamati za Bunge zina Wabunge wote.Tumeona zikileta mambo Kama Escrow,Richmond na wanasiasa wengi wakafurahia watu kuwajibishwa.

Jana kamati moja imetoa report na mapendekezo yake.Wabunge flani wamekutwa na hatia wamepewa adhabu,

Kumbe maamuzi yanakua yafuraha kwa upande mmoja upande mwingine mmoja wameonewa
 
Back
Top Bottom