Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

Naanza sasa kumwelewa Zitto na nazidi sana kumtofautisha na wanasiasa wengine wa upinzani. Well done Zito na wote wanaopinga ongezeko la posho. Kabla hawajaongeza posho wawaongeze kwanza mishahara watumishi wa Umma hasa walimu.
Huyo anazo nyingi kama mlima kapewa kila aina ya mabrief case iliyojaa mipesa kama ni mzalendo mbona anatumia ndege za Tanapa peke yake kwa gharama ya miloni mia moja kwa nusu saa,fdha za NSSF inamuweka mjini kikao kimoja anachopew yeye angeweza kujenga zahanati tano mwandiga mukiwa waongo muwe na kumbukumbu JF imerunza vielelezo na viambatanisho vilivyowekwa hapa google upate ufahamu wa jangiri la kisiasa
 
Posho ndio imekuwa National debate badala ya katiba yenyewe,naanza kuwa na doubt Kama hiyo katiba itasaidia chochote....sad indeed!
 
Where is mbowe,hajatoka hadharani kupinga-haha mnafiki mkubwa.

utamtafuta na hutampata haitaji kuuza sura ya kisiasa kwa kupinga hadharani anapinga kwenye vikao husika magazeti hayawezi kumgeuza alivyo matapel wa kisiasa tunawajua
 
Mwenyekiti wa muda wakati anataja majina ya wanakamati ndogo ya posho alipomtaja Jenista Mhagama ukumbi ulishangilia sana, nilijiuliza sana. Sasa nimejua ni kwanini.........atakuwa ni muumini wa "posho"
 
Uongo mtupu.Kamati haijapendekeza kitu cha namna hiyo.

Huu ni uongo mkubwa wa kutaka sifa kwa Zitto Kabwe.

zito mwenyewe ni mnafiki ni wale wale tu shame on zito,mwigulu,lema,zambi,kigwangala,wasira,lukuvi,pandu kificho,mbowe shame on them all ccm and chadema,nccr,cuf shame shame
 
Hii nchi ya watu waoga, mbona Kenya waliandamana mpaka mlangoni mwa geti la bunge kupinga mambo kama haya, sisi watanganyika alotuloga ni nani?.....Babu yetu Nyerere njoo uwaone walokataa Azimio la Arusha wanavyofaidika na mafao ya jasho letu!! Wateule wa Kikwete na Wabunge wa Tanzania na Zanzibar hivi hizo pesa zitawazika? Tafuta thawabu mbinguni sio duniani!!!
 
sio makosa yako......bbila shaka wajumbe wote ktk bunge la katiba wana mawazo na mtazamo kama wewe
 
Kura moja inatosha kuikataa? mbowe ndo rais? mpu ....z...
Nilijua tu kana mtakuja na utetezi wa namns hizi. Kana uaminivyo ndivyo. Tunatarajia aje asimame mbele ya bunge na kueleza kutokukubalina kwake na kamati akiyokuwamo. Pia naamini saini zimepita huko
 
napata tabu sana kuchangia hii hoja yaani naandika kwa kutumia mikono lakini miguu umepigwa na ganzi....hivi hizi kauli ni za wajumbe au
 
Hapana mkubwa na nnachoamini hata kama wakipingana huko,kawaida ya chadema uwa wanakuja kwenye jukwaa kutuelezea hali halisi kama nani aliunga mkono na nani alipinga ila ndo kodi zetu znapotea kwa uroho wa watu wachache ambae wamefata posho na sio katiba
 
Back
Top Bottom