Kamati ya bajeti yadai serikali haikujali ushauri waliotoa.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,641
6,267
Mwenyekiti wa kamati akisoma maoni ya kamati amesema, serikali haikuzingatia ushauri waliotoa kuhusu vyanzo vipya vya mapato, na kufanya serikali kutegemea vyanzo vilevile na kuwabebesha wananchi mzigo wa kodi.

Hivyo akasema serikali imegeuza bunge kama muhuri wa kupitisha matumizi, wakati bunge likitoa ushauri wanadharau.
Chanzo: hotuba ya kamati.
 
S

SINA IMANI NA SERIKALI YA CCM
 
What-is-Wrong-with-this-CCM-Photo.png

kazi yao kula tu check mitumbo yao.

swissme
 
Labda ungefafanua n ushauli gani hiyo kamati ilitoa na serikali ikapuuza pengine ingetoa nafasi nzuri kwa wachangiaji, mfano: kama ni kweli kwamba ukimtumia mtu M-pesa kisha itakatwa 10% ya serikali hapohapo makampuni ya simu nayo yataendelea na makato yao kwa mteja, hivyo basi kodi hii ni kubwa kuliko hata ile iliyotaka kupitishwa 2014 kwamba kila mtumiaji wa simu atalipia 1000 ya laini kila mwezi kwa hiyo kwa mwaka mtu angelipia laini Tsh. 12,000 tu. Lakini hii ya ten percent kwa kila utoapo hele kwenye kupitia sim ni kubwa mno na wengi wataacha kabisa hii huduma ambapo kiukweli watanzania wengi wamejipatia kariziki kupitia huu mfano pia imesaidia sana namna ya kutuma hela aidha kwa wazazi na ndugu huko vijijini na sehemu nyingine nyingi hasa upande wa biashara. Basi, kama kamati ilishauri hili na serikali ikapuuza basi itabidi sasa tujiulize ni wangapi wataendelea kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money na Easy Pesa?

La sivyo tukubaliane sisi sote kwa pamoja kwamba huu ndiyo wakati wa kila mtanzania kulipa kodi, lakini wasiwasi wangu kwenye hili ni jinsi gani watu wa hali ya chini watamudu hii kodi, kwamba unamtumia mzazi 500, 000 kisha yeye akienda kutoa anakatwa 50,000 TRA, inabidi umtumie 560, 000 ili aweze kutoa 500,000 huku TRA na kampuni ya simu watakuwa wamegawana ile 60,000.
 
Uongo
 
Back
Top Bottom