Kamati ya Amani isiyokemea uvunjifu wa amani, isiyoshirikiana na wasio watawala?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kamati ya Amani sijawahi kuisikia ikikemea uovu nchini. Sijawahi iona ikisema na kutafakuri na viongozi wa vyama pinzani

Sijawahi iona ikijadiliana na familia zilizopoteza wapendwa wao wala kutoa pole kwa familia zilizopata madhila ya watu wachache wasiowaadilifu kwenye dola

Hata kwa Akwilina kamati aikusema jambo

Kamati isiyojadili haki inahubirije Amani? Amani ni tunda la roho.

Kamati isiweza japo kumkea mchungaji na askofu mwenzao anapoingiza dini kanisani.

Kamati yakumumunya maneno

Kamati ya mkuu wa mkoa wa zamani ambayo kwa sasa imekosa mialiko ya hafla, mlo wa siku unafanya mkengeuke na kuiacha kweli mliyoitwa kuisimamia.

Nawaza hii kama ya amani inahubiri Amani kwa nani? Viongozi wa Dini tamaa za wanasiasa zitatumbukiza kwenye ziwa la moyo. Chagueni kimoja Dini/Siasa.
 
Back
Top Bottom