The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Teh teh teh!! Mafisadi bwana. We do not compromise with you fisadiz.
Kwa vyovyote vile, kuleta kioja kama hicho ili tujadili ni kutudhalilisha kiaina. Msomi kama Kitila ndugu yangu vipi tena umenasa kirahisi namna hii.
Nyie mafisadi tunao tu mpaka tuone mwisho wake.