Kamati Maalumu ya NEC ya CCM Zanzibar imeanza kikao kupitisha wagombea Urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati Maalumu ya NEC ya CCM Zanzibar imeanza kikao kupitisha wagombea Urais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Halisi, Jul 3, 2010.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kamati Maalumu ya NEC ya CCM imeanza kikao chake muda mchache uliopita hapa Zanzibar, Kisiwandui. Kikao hicho kitachagua wana CCM watano kwenda Kamati Kuu na baadaye NEC.

  Majina yanayotajwa kupita ni pamoja na Dk. Ali Mohamed Shein, Dk. Mohamed Bilal, Haroun Suleiman, Alli Juma Shamhuna na Shamsi Vuai Nahodha. Mwingine anayepewa nafasi ni Mohamed Aboud, ambaye hata hivyo kuna utata katika elimu yake.

  Uwezekano mkubwa ni kuwa kuna kila dalili za Dk. Shein kubaki kuwa mgombea urais wa Zanzibar kutokana na kuwa na nguvu kubwa ndani ya serikali na CCM. Tatizo kuna hofu kubwa hapa Zanzibar ya JK kutotabirika, maana "anaweza kubadilika"
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]GENERAL[/FONT]

  [FONT=&quot]Salutation[/FONT]: [FONT=&quot]Honourable[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]​
  [FONT=&quot]First Name: [/FONT][FONT=&quot]Mohamed[/FONT]
  [FONT=&quot]Middle Name[/FONT][FONT=&quot]: [/FONT][FONT=&quot]Aboud[/FONT]
  [FONT=&quot]Last Name:[/FONT] [FONT=&quot]Mohamed[/FONT]

  [FONT=&quot]Member Type:[/FONT] [FONT=&quot]Nominated by the President[/FONT]
  [FONT=&quot]Constituent:[/FONT] [FONT=&quot]No Constituency[/FONT]
  [FONT=&quot]Political Party:[/FONT] [FONT=&quot]CHAMA CHA MAPINDUZI[/FONT]
  [FONT=&quot]Office Location:[/FONT] [FONT=&quot]P.O.Box 3870, Zanzibar[/FONT]
  [FONT=&quot]Office Phone: [/FONT][FONT=&quot]+255 777 411667 [/FONT]
  [FONT=&quot]Ext.: [/FONT]
  [FONT=&quot]Office Fax: [/FONT]
  [FONT=&quot]Office E-mail: [/FONT][FONT=&quot]maboud@parliament.go.tz[/FONT]
  [FONT=&quot]Member Status: [/FONT][FONT=&quot]Current Member[/FONT]
  [FONT=&quot]Start Date: [/FONT][FONT=&quot]28 December 2005 [/FONT]
  [FONT=&quot]End Date:[/FONT] [FONT=&quot]27 December 2010 [/FONT]
  [FONT=&quot]Date of Birth: [/FONT][FONT=&quot]19 January 1960 [/FONT]

  [FONT=&quot]EDUCATIONS[/FONT]
  [FONT=&quot]School Name/Location [/FONT]
  [FONT=&quot]Course/Degree/Award [/FONT]
  [FONT=&quot]Start Date[/FONT]
  [FONT=&quot]End Date[/FONT]
  [FONT=&quot]Level[/FONT]

  [FONT=&quot]Cambridge International College - UK[/FONT]
  [FONT=&quot]Diploma in Business Management & Admin.[/FONT]
  [FONT=&quot]2001[/FONT]
  [FONT=&quot]2003[/FONT]
  [FONT=&quot]DIPLOMA[/FONT]

  [FONT=&quot]Cambridge International College - UK[/FONT]
  [FONT=&quot]Diploma in Business economic & Commerce[/FONT]
  [FONT=&quot]2001[/FONT]
  [FONT=&quot]2003[/FONT]
  [FONT=&quot]DIPLOMA[/FONT]

  [FONT=&quot]Montaigne School of English - UK[/FONT]
  [FONT=&quot]Certificate[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]CERTIFICATE[/FONT]

  [FONT=&quot]ICS[/FONT]
  [FONT=&quot]-[/FONT]
  [FONT=&quot]1997[/FONT]
  [FONT=&quot]1998[/FONT]
  [FONT=&quot]CERTIFICATE[/FONT]

  [FONT=&quot]Kibasila Secondary School[/FONT]
  [FONT=&quot]O-Level Education[/FONT]
  [FONT=&quot]1976[/FONT]
  [FONT=&quot]1977[/FONT]
  [FONT=&quot]SECONDARY[/FONT]

  [FONT=&quot]Michakaeni Secondary School[/FONT]
  [FONT=&quot]Secondary Education[/FONT]
  [FONT=&quot]1973[/FONT]
  [FONT=&quot]1975[/FONT]
  [FONT=&quot]SECONDARY[/FONT]

  [FONT=&quot]Michakaeni Primary School,Pemba[/FONT]
  [FONT=&quot]Primary Education[/FONT]
  [FONT=&quot]1966[/FONT]
  [FONT=&quot]1972[/FONT]
  [FONT=&quot]PRIMARY[/FONT]

  [FONT=&quot]ST.Clement University -West Indies[/FONT]
  [FONT=&quot]Public Administration[/FONT]
  [FONT=&quot]2008[/FONT]
  [FONT=&quot]2008[/FONT]
  [FONT=&quot]MASTERS DEGREE[/FONT]

  [FONT=&quot]CERTIFICATIONS [/FONT]
  [FONT=&quot]Certification Name or Type[/FONT]
  [FONT=&quot]Certification No. [/FONT]
  [FONT=&quot]Issued[/FONT]
  [FONT=&quot]Expires[/FONT]
  [FONT=&quot]No items on list [/FONT]

  [FONT=&quot]EMPLOYMENT HISTORY [/FONT]
  [FONT=&quot]Company Name [/FONT]
  [FONT=&quot]Position [/FONT]
  [FONT=&quot]From Date[/FONT]
  [FONT=&quot]To Date[/FONT]

  [FONT=&quot]Ministry of East Africa Co-operation[/FONT]
  [FONT=&quot]Deputy Minister[/FONT]
  [FONT=&quot]2008
  [/FONT]
  [FONT=&quot]To Date[/FONT]

  [FONT=&quot]Ministry of Public Safety and Security[/FONT]
  [FONT=&quot]Deputy Minister[/FONT]
  [FONT=&quot]2006[/FONT]
  [FONT=&quot]2008[/FONT]

  [FONT=&quot]Revolutionary Government of Zanzibar[/FONT]
  [FONT=&quot]Minister(Ministry of Agriculture)[/FONT]
  [FONT=&quot]2004[/FONT]
  [FONT=&quot]2005[/FONT]

  [FONT=&quot]Revolutionary Government of Zanzibar[/FONT]
  [FONT=&quot]Minister(Ministry of Trade)[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]2004

  [/FONT] [FONT=&quot]Private Businesses[/FONT]
  [FONT=&quot]Businessman[/FONT]
  [FONT=&quot]1997[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Bank of Zanzibar[/FONT]
  [FONT=&quot]Board Member[/FONT]
  [FONT=&quot]1996[/FONT]
  [FONT=&quot]1999[/FONT]

  [FONT=&quot]POLITICAL EXPERIENCE [/FONT]
  [FONT=&quot]Ministry/Political Party/Location [/FONT]
  [FONT=&quot]Position [/FONT]
  [FONT=&quot]From[/FONT]
  [FONT=&quot]To[/FONT]

  [FONT=&quot]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/FONT]
  [FONT=&quot]Member of Parliament[/FONT]
  [FONT=&quot]2005[/FONT]
  [FONT=&quot]To Date[/FONT]

  [FONT=&quot]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/FONT]
  [FONT=&quot]Member of Parliament[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]2005[/FONT]

  [FONT=&quot]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/FONT]
  [FONT=&quot]Member of House Representative[/FONT]
  [FONT=&quot]2000[/FONT]
  [FONT=&quot]2005[/FONT]

  [FONT=&quot]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/FONT]
  [FONT=&quot]Member of National Executive Council[/FONT]
  [FONT=&quot]1997[/FONT]
  [FONT=&quot]To Date[/FONT]

  [FONT=&quot]PUBLICATIONS[/FONT]
  [FONT=&quot]Description [/FONT]
  [FONT=&quot]Published Date[/FONT]
  [FONT=&quot]No items on list [/FONT]

  [FONT=&quot]SPECIAL SKILLS[/FONT]
  [FONT=&quot]Skill Name or Description [/FONT]
  [FONT=&quot]Years Experience [/FONT]
  [FONT=&quot]Acquired Through [/FONT]
  [FONT=&quot]Skill Level[/FONT]
  [FONT=&quot]No items on list [/FONT]

  [FONT=&quot]RECOGNITIONS [/FONT]

  [FONT=&quot]Recognition Type[/FONT]
  [FONT=&quot]Recognition Date[/FONT]
  [FONT=&quot]Reason[/FONT]
  [FONT=&quot]Action Taken[/FONT]
  [FONT=&quot]Issued by[/FONT]

  [FONT=&quot]No items on list [/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jul 3, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Mkuu Halisi, umekuwa kimya ghafla,,, tunakufuatilia kwa karibu!
   
 4. R

  Rafikikabisa JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huyu kweli Elimu yake ina utata yeye alipokuwa anasoma anapiga mbili kwa mpigo, hebu angalia Diploma mbili kwa mpigo na

  Cambridge International College - UK
  [FONT=&quot]Diploma in Business Management & Admin.[/FONT][FONT=&quot]2001-[/FONT][FONT=&quot]2003[/FONT][FONT=&quot]DIPLOMA[/FONT]

  [FONT=&quot]Cambridge International College - UK[/FONT]
  [FONT=&quot]Diploma in Business economic & Commerce[/FONT][FONT=&quot]2001-[/FONT][FONT=&quot]2003[/FONT][FONT=&quot]DIPLOMA[/FONT]

  Halafu baada ya Diploma ni Masters? Hii na yenyewe ni utata mwingine au ni masters ya internet? Kunahitajika mdahalo.
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  According to the tetesi nilizozipata asubuhi hii ni kuwa Dk Bilal na wafuasi wake wamechimba mkwala!!!
   
 6. C

  Calipso JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwani Karume vp ktk elimu? ccm hawajali elimu,bali wanachoangalia ni nani atafata matakwa yao.. kwa kweli mm sijaona mgombea hata mmoja anaeweza kushindana na Maalim bali wataendelea kuiba tu.. lkn pamoja na yote,nilijaribu kufatilia mahojiano ya wagombea wote wa ccm na waandishi habari,pamoja na kuwa siwakubali woote,lkn Nahodha ameongea maneno ambayo yanawagusa waznz,waznz wanahitaji mtu atakaeweza kutenda maneno aliyoongea Nahodha,nilifurahi nilivosikia maneno yake mazuri kwa waznz,lkn kawaida ya ccm wanaweza kuongea maneno matamu lkn moyoni,ana jengine anapanga.. lkn wagombea wengine kama kina shamhuna na wengine woote wameongea utumbo kabisa,hebu Mkuu HALISI tutafutie speech ya Nahodha wakati alipochukua utuwekee hapa..
   
 7. C

  Calipso JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ohoooo! mengine haya.. acha wapigane hasa.
   
 8. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  According to CCM Arithmetics, it is very simple and always has been the same. Majina ya Dr. Bilal na Dr. Sheni yatapitishwa, Kamati Kuu CC itamwomba Dr. Bilal ajitoe ampishe Dr. Sheni kwa heshima kabla ya majina kupelekwa NEC, najua Bilal atakataa ombi hilo atadai majina yote yapelekwe NEC na kura zipigwe, nina uhakika wa 90% Dr. Bilal atapata kura za kutosha lakini NEC itapitisha jina la Dr. Sheni, mwisho kambi ya Dr. Bilal itasusia uchaguzi. Alternative kwa vile mzee wetu Sheni huwa hataki makuu atakubali yaishe.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  ..Du...!..Huu utabiri umenifurahisha sana!...Tuna muda mfupi wa kuhakiki huu urozi!
   
 10. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yule aliye tayari kushika jahazi la Zenji ndiye atakayepewa kijiti, hilo halina shaka na CCM iko madhubuti!
   
 11. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  PJ

  Ndivyo itakavyokuwa nimeishi na CCM miaka mingi sana ingawa sina uwezo wakuwabadili lakini nawajua, kuna urozi niliutoa wa Ccj nikauita sinema steringi Tendwa nikasema mwisho Ccj watakuja kusema unaona wasingenishika shati ningemgaragaza watu hawakuamini, na ndivyo ilivyokuwa.
   
 12. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #12
  Jul 3, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hapa ndipo tunapom-miss Field Marshal ES! Mzee FMES vipi tena mkuu unapotea kipindi ambacho ndio Taifa linakuhitaji zaidi?
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mkuu umejuaje? mbona ni kweli ndivyo itakavyokuwa, yaelekea wewe ni wale CCM wasiolipia kadi ambao wao wanawaita "waliolala" lakini utabiri huu umekosea kidogo sana kwani umesahau kuwa Dr Sheni kalazimishwa na mafisadi kuomba nafasi hiyo kwa malengo yao ya 2015 na liwalo na liwe watampiga tafu kwa njia zozote mpaka ashinde na kwa kishindo kikubwa
   
 14. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Bado wako ndani. Alianza kuhojiwa Dk. Bilal, ambaye amehojiwa maswali makali makali ikiwa ni pamoja na kuulizwa kwanini hataki maridhiano na kwanini anaendeleza makundi na uhasama. Wakafuata wengine na Shein akawa wa pili kutoka mwisho kabla ya kumalizia Haroun Suleiman (Waziri wa ELimu).... Kwa hali ilivyo mambo ni magumu sana kwa Bilal maana tofauti na miaka ya nyuma hana nguvu CCM Zanzibar (Viongozi, ambao kwa hatua hii ndio wenye kura). Anategemea kidogo bara ambako nako kuna utata kama atapita Kamati Kuu, maana mpasuko wa CCM ndipo unapoanzia hapa. Kundi la Karume kwa sasa linamtaka Shein kwa nguvu zote na JK anatajwa kuwa nyuma yao kwa msingi wa maridhiano na mshikamano ambao unaanzia ndani ya CCM, Zanzibar na bara na kuendelea hadi CCM na CUF Zanzibar. Kwa hali ilivyo Shein anaonekana kuwa chaguo la katikati baada ya Bilal kucheza karata yake vibaya dakika za mwisho kwa kuonyesha kwamba anapinga maridhiano kati ya CCM na CUF na kuendeleza siasa za "Mapinduzi Daima" kwa kufanya hivyo anawapa nguvu watu kama Mohamed Aboud ambaye tunamuona hapa anakwazwa na kutokuwa mwaminifu katika kuwasilisha nyaraka zake za elimu. Dk. Shein kutokana na kuwa mtu wa kati kati na ambaye waatu wa bara wanaona anawazibia, ataungwa mkono apite Zanzibar na kuwa mgombea wa CCM. Kazi itakuwa katika kumuuza kwenye kampeni dhidi ya Seif wa CUF.

  Kuna tatizo kubwa la kampeni. Wenyewe CCM wanasema wanao uwezo wa kumuuza mgombea watakayempitisha.

  Wana JF tatizo la Zanzibar ambalo limekuwa halisemwi si la CCM na CUF ni la waliopinduliwa na waliopindua. Kuna tatizo la watu weupe na watu weusi, ni tatizo la ubaguzi ambalo waliopindua wamerithi ubaguzi kwa kuanza wao kuwabagua Waarabu kiana. Ukizungumza na watu wanaomuunga mkono Mohamed Aboud wanasema ni mtu anayefaa maana ana asili ya Kiarabu na kwamba atafanya kama Obama kuonyesha kwamba hakuna tabaka la watawala na watawaliwa. Wanasema kwa sasa Seif huwa anashinda chaguzi zote kwa sababu asilimia kubwa ya watu wa Unguja na Pemba wamechanganya wakiwamo hao watawala wanaowabagua waliochanganya. Mfano Karume mama yake ana asili ya Kiarabu, Mke wake Shadya naye ana asili ya Arabu, na kadhalika. Kwa hiyo CUF wanahitaji kuwekewa mtu atakayevunja huo ukimya si Shein vinginevyo ni kumuachia Seif aendelee kushinda na aibiwe na kuendeza vidonda visivyokwisha. Hoja hiyo ndio inayompa nguvu Haroun ambaye jina lake linaweza kupita kumsindikiza Shein hadi mwisho kama alivyowekwa Salim Ahmed na MWandosya kumsindikiza JK 2005

  Tusubiri tuone. Mchakato ndio kwanza unaendelea na vita ssa ni kati ya Bilal na Shein japo wapo SHamhuna, SHamsi na Haroun.
   
 15. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kaka nipo ila net haikuwa nzuri na kikao kilikua kinaendelea ndani. Tunaweza kuongea kwa simu
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Watu wa Mchakaeni na Kibasila watuambie walimfahamuje huyo hapo shuleni. Watu wa Mchakaeni wanasema shule hiyo haikuwa na Sekondari mwaka aliioutaja Aboud, na sasa haina sekondari, ilikuwapo mwaka 1976 halafu ikafungwa mwaka 1981 na sasa wanajiandaa kuirudisha tena. Je, alikosea ama ndivyo ilivyo? Au mwalimu Mkuu kakosea?
   
 17. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Halisi,
  I don't see any problem; we need performers, those who achieved a certain degree of development for their people; siwezi kumpigia kura Dr. Kikwete, kwa kuwa najua kabisa ameachive zero in his performance. Tuwangalie candidates kwenye picha kubwa. Wanaomjua huyu mtu watupe habari zake that is all
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Detailed explanation, nimefurahi kufahamu shida nyingine ya ubaguzi wa rangi iliyoko visiwani.Mkuu endelea kuleta live-coverage ya hii maneno!
   
 19. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kazi imeanza naam jiwekeni mkao wa kula
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Halisi hilo sie tunalijua tangu zamani ila asante kwa update sasa naamini kweli zile tetesi nilizosikia kuwa Gharib Bilal wamechimba mkwala ni kweli kwani inaelekea ana kibarua kizito baada ya kucheza karata yake vibaya.
   
Loading...