Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM yakutana Zanzibar

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Saturday, December 15, 2012



IMG_3057.JPG
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM
Kisiwandui,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
IMG_3068.JPG
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakipitia ajenda za Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma
IMG_3080.JPG
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakiimba wimbo wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo
IMG_3098.JPG
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
IMG_3100.JPG
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
IMG_3131.JPG
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Kikao cha siku Moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ikiwa ni kikao chake cha kwanza tokea kushika nafasi ya Makamo baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita hivi Karibuni Mjini Dodoma,(kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.


Imewekwa na MAPARA
 
Kuna jamaa mmoja hapo kwenye meza kuu anawaza wale wanyama pori wenye miili mikubwa.
 
Agenda ya kikao chao ni nini?

Hawa ni wazee wa posho wakitoka hapo wanakwenda kupongezana kwa pombe au ngono tu.

Vikao walianza toka baada ya mapinduzi mpaka leo na hakuna lolote la maana.
 
JK sio mjumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu Zanzibar, Mwenyekiti wa Kikao hicho ni Makamo M/K Zanzibar Dr. Shein!. Hivyo kusema JK hayupo sii sahihi!.
P.
 
Muungano ukivunjika ccm zanzibar nayo itaenda kivyake au itakuweje wakuu?
Wacheni zanziber ipumuwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom