Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM yakutana Zanzibar


A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Messages
859
Points
0
A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2010
859 0
Saturday, December 15, 2012Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM
Kisiwandui,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakipitia ajenda za Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakiimba wimbo wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Kikao cha siku Moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ikiwa ni kikao chake cha kwanza tokea kushika nafasi ya Makamo baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita hivi Karibuni Mjini Dodoma,(kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.


Imewekwa na MAPARA
 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,908
Points
2,000
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,908 2,000
Kuna jamaa mmoja hapo kwenye meza kuu anawaza wale wanyama pori wenye miili mikubwa.
 
M

malaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
1,323
Points
1,195
M

malaka

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
1,323 1,195
Dogo hakuwepo? Naona wamekaa watu wazima tu inaonyesha hawataki sound.
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Agenda ya kikao chao ni nini?

Hawa ni wazee wa posho wakitoka hapo wanakwenda kupongezana kwa pombe au ngono tu.

Vikao walianza toka baada ya mapinduzi mpaka leo na hakuna lolote la maana.
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,441
Points
2,000
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,441 2,000
Tembo wetu hatarini kwisha!ni Hatari sana!!
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
CCN ina PESA... Kila SIKU Vikao...
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
28,756
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
28,756 2,000
JK sio mjumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu Zanzibar, Mwenyekiti wa Kikao hicho ni Makamo M/K Zanzibar Dr. Shein!. Hivyo kusema JK hayupo sii sahihi!.
P.
 
Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,264
Points
1,250
Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,264 1,250
Waliopo hapo ni wanaotaka muungano wa mkataba hadharani au moyoni?
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,833
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,833 2,000
Muungano ukivunjika ccm zanzibar nayo itaenda kivyake au itakuweje wakuu?
Wacheni zanziber ipumuwe!
 
S

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
2,158
Points
1,250
S

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
2,158 1,250
wanapoteza muda huyu mgonjwa ndo anakufa hivyo.wajiandae kwa maziko
 

Forum statistics

Threads 1,283,903
Members 493,869
Posts 30,805,569
Top