Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

mjinga wewe
282643734.jpg
 
Intelligence Justice

Mimi nipo sawa tu Mkuu ila najua binadamu hayuko aliyekamilika ndio maana nikasema hiyo ACT ya Mazishi ilisema viongozi wazikwe Dodoma, ila imebadilishwa
sasa Leo tena Zanzibar imeongezeka kwa hiyo Mazishi ni Alhamis huko Chato
Dar na Dodoma wapo palepale
Mungu ampenguvu Mama Samia Suluhu Hassan hasa katika kipindi hiki cha ugeni wake ila atatuongoza vizuri sana
Uko sahihi mkuu, ila kumbuka tuko katikati ya msitu na mama amebeba mtoto mgongoni akikatisha msitu huo kisha sauti ya simba wa nyika akiunguruma ndipo mtoto anapata HOFU ya usalama wake na wa mama ananza kulia kwa uchungu huku akiruhsa miguu akitaka mama arudi wamchukue baba ili waambatane kuvuka msitu huo uliojaa wanyama wakali.

Kitu gani kilitokea? Safari ndio hii shuhudia mwenyewe pasipo kusimuliwa kwa kuwa ni mtu mzima.
 
Intelligence Justice

Mimi nipo sawa tu Mkuu ila najua binadamu hayuko aliyekamilika ndio maana nikasema hiyo ACT ya Mazishi ilisema viongozi wazikwe Dodoma, ila imebadilishwa
sasa Leo tena Zanzibar imeongezeka kwa hiyo Mazishi ni Alhamis huko Chato
Dar na Dodoma wapo palepale
Mungu ampenguvu Mama Samia Suluhu Hassan hasa katika kipindi hiki cha ugeni wake ila atatuongoza vizuri sana
Mswada wa sheria ya eneo la kuzikia viongozi huko Dodoma uliondolewa na eneo lililoteuliwa kugawiwa kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom