Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Hunijui sikujui ila nimekuwa mfuasi wako siku zote.Mimi ni mwalimu tena wa shule ya wasichana,nimekuwa nikiwahimiza na kuwaasa waige mfano wako maana wewe Ni mwanamke shupavu na mfano wa kuigwa.Nakuomba rudi kwenye mstari,kuombe msamaha chama chako,ulinde heahima na reputation ulitumia muda mwingi kuijenga.Ulikuwa binti mdogo ungekuwa unakula bata na kujirusha lakini hukufanya hivyo,nakuomba linda heshma uliyoijenga,omba msamaha chama kitakusamehe.
Huyu dada akijua kutafakari vizuri, ni bora arudi na kuomba samahani! Inauma sana amejenga jina sana lakini anakuja kupoteza jina na heshima yake kwa sababu ya vipande 30 vya fedha!!!! So sad
 
Hunijui sikujui ila nimekuwa mfuasi wako siku zote.Mimi ni mwalimu tena wa shule ya wasichana,nimekuwa nikiwahimiza na kuwaasa waige mfano wako maana wewe Ni mwanamke shupavu na mfano wa kuigwa.Nakuomba rudi kwenye mstari,kuombe msamaha chama chako,ulinde heahima na reputation ulitumia muda mwingi kuijenga.Ulikuwa binti mdogo ungekuwa unakula bata na kujirusha lakini hukufanya hivyo,nakuomba linda heshma uliyoijenga,omba msamaha chama kitakusamehe.
acha kumdanganya mtu mzima ndugu yangu. Hivi unaijua siasa wewe au unaisikia tu. Politics is a game. Mdee ni mtu msomi mwache afanye maamuzi yake. Binafsi Mimi simuungi mkono kuwa na watu wasio na maarifa wao kila kitu ni kupinga tu. Mwaache akatumie elimu yake kuitumikia serikali in positive way.
 
na wala haitakua ajabu kwani hata ccm walimfukuza Sofia simba mwenyekiti wa uwt lkn baadae akaomba msamaha akarudi. naunga mkono Ushauri huo
 
acha kumdanganya mtu mzima ndugu yangu. Hivi unaijua siasa wewe au unaisikia tu. Politics is a game. Mdee ni mtu msomi mwache afanye maamuzi yake. Binafsi Mimi simuungi mkono kuwa na watu wasio na maarifa wao kila kitu ni kupinga tu. Mwaache akatumie elimu yake kuitumia serikali in positive way.
Kushauri siyo kosa mkuu
 
Hunijui sikujui ila nimekuwa mfuasi wako siku zote.Mimi ni mwalimu tena wa shule ya wasichana,nimekuwa nikiwahimiza na kuwaasa waige mfano wako maana wewe Ni mwanamke shupavu na mfano wa kuigwa.Nakuomba rudi kwenye mstari,kuombe msamaha chama chako,ulinde heahima na reputation ulitumia muda mwingi kuijenga.Ulikuwa binti mdogo ungekuwa unakula bata na kujirusha lakini hukufanya hivyo,nakuomba linda heshma uliyoijenga,omba msamaha chama kitakusamehe.
Wewe chama kimeshakufa atafute maisha mbele,,mfano mzuri ni Waitara
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama

Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.

Stay Tuned for Updates

=================

Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.

Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.

22:08: Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini

Mkutano huo utakuwa live kupitia

Tayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini

Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe

"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe

“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe

Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe

“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.” @freemanmbowetz

“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE

"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -

Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”

”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-

"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -

"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-

“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”

”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”

“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”

"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe

ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA 2020 WALIOVULIWA UWANACHAMA NI:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed

FB_IMG_1618920941315.jpg
 
Hivi hili azimia lilifikiaga wapi???

Au ndio ule mchezo wa tega nikutege🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu unataka CAG aweke mkeka wa ruzuku wanazopokea chadema kutokana na kuwepo hao wabunge waliofukuzwa chadema?
Wenzako akiwemo Ndugai walileta huo utopolo lakini walipoambiwa waweke ushahidi wakakimbia

Ruzuku ya chama cha siasa inawekwa kwenye akaunti ya chama iliyopelekwa kwa Msajili na Baraza la wadhamini , Chadema haikupeleka akaunti hiyo , wala haraza la wadhamini halikukaa kikao chochote
 
Hata andiko hili hapa JF uliloambanishiwa na video ya Mbowe nalo ni la siri ? labda utakuwa na matatizo ya akili

Nina akili timamu zilizotimilika ndio maana nasubiri maazimio ya kuwafukuza hao wanachama yafanyike

Mimi sisemi kitu nisichokijua sababu sijabarikiwa kuwa kiwanda cha uongo kama chadema
 
Wenzako akiwemo Ndugai walileta huo utopolo lakini walipoambiwa waweke ushahidi wakakimbia

Ruzuku ya chama cha siasa inawekwa kwenye akaunti ya chama iliyopelekwa kwa Msajili na Baraza la wadhamini , Chadema haikupeleka akaunti hiyo , wala haraza la wadhamini halikukaa kikao chochote
Mna roho ngumu. Anyway, ni dunia ya wanawake. Akina Halima hivi sasa ndiyo wenye nguvu ndani ya chama chenu. Watatoa utaratibu wa matumizi ya ruzuku
 
Back
Top Bottom