Kamati Kuu ya CHADEMA... Ni kina NANI?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,828
Nilikuwa sijui kama Baregu alikuwa kwenye kamati kuu ya CHADEMA....niko curious kujua the rest.

=============

Nnimepata hii

1. Freeman Mbowe
2. Wilbroad Slaa
3. Tundu Lissu
4. Peter Kibatara
5. Said Issa Mohamed
6. Suzan Lyimo
7. Suzan Kiwanga
8. Lazaro Maasai
9. Anthony Komu
10. Benson Kigaila
11. John Mnyika
12. Wilfed Lwakatare
13. Said Mzee Said
14. John Mrema
15. Ezekiel Wenje
16. Nassor Ally Salim
17. Godbless Lema
18. Grace Kihwelu
19. John Heche
20. Alex Kisurura
21. Nyangaki Shilungushile
22. Chiku Abwao
23. Japhery Michael
24. Mabere Marando
25. Hamad Yusuph
26. Shida Salum
27. Edson Mbogoro
28. Peter Msigwa
29. Mwanamrisho Abama
30. Prof. Baregu
31. Prof. Safari
32. Silvester Masinde
 
Nilikuwa sijui kama Baregu alikuwa kwenye kamati kuu
ya CHADEMA....niko curious kujua the rest

mwenye orodha ya hawa watu wa kamati kuu CHADEMA aiweke
hapa please...naona itasaidia wengi...

Ni siri ya CHAMA. Kwanza ulifanikiwaje kumtambua Beregu? Au nawe uko kwenye mapinduzi ya CHAMA katika waraka wa ushindi.

Kamwe hatutatoa majina yao kwa usalama wao na usalama wa chama, kwani wanaweza kununuliwa hasa katika suala hili la Zitto na fukuza fukuza inayoendelea.
 
Malekea Malekea
Jubulusi H Makindo
Idahanya Mkumbuke
Andika Ntoroke
Mwansiha Mitimingi
Muhogomchungu Makidama
Tatulika Nyenyesombo
 
Ni siri ya CHAMA. Kwanza ulifanikiwaje kumtambua Beregu? Au nawe uko kwenye mapinduzi ya CHAMA katika waraka wa ushindi.

Kamwe hatutatoa majina yao kwa usalama wao na usalama wa chama, kwani wanaweza kununuliwa hasa katika suala hili la Zitto na fukuza fukuza inayoendelea.

Lema, mushi,mbowe,temu,aika,ndesamburo,slaa,josephine,nasari,msigwa,shayo,mrema et al
 
Ni siri ya CHAMA. Kwanza ulifanikiwaje kumtambua Beregu? Au nawe uko kwenye mapinduzi ya CHAMA katika waraka wa ushindi.

Kamwe hatutatoa majina yao kwa usalama wao na usalama wa chama, kwani wanaweza kununuliwa hasa katika suala hili la Zitto na fukuza fukuza inayoendelea.

Kama makubwa jinga ndio mashabiki na wanachama wa CDM kama huyu muungwana ngoda, then Mbowe ana haki ya kuwa kiongozi wao.
 
kwa kweli kama mwanaCDM wa dhati kabisa nilisikitika saana mtu dizaini ya lema kuwa mjumbe wa kamati kuu, hana hekima wala busara......ningependa kujua vigezo vya wajumbe kwa mujibu wa katiba ni vp hivyo? kwa kweli yatakapokuja in future amendments zozote za katiba wahusika waliangalia kwa umakini mkubwa jambo hili. tusiruhusu watu WAKURUPUKAJI tena wenye mihemko kututolea maamuzi mazito ndani ya chama! watetezi watadai ana haki, hiyo ni sawa ila hana vigezo!
 
Sasa kama hawa ndio wajumbe wa kamati kuu ya Chadema; wale wanaodai kuwa hiki ni chama cha dini fulani na kanda fulani walikuwa wana maana gani zaidi ya kuchafuana tu kisiasa na wenzao wa CDM?
ratio iko karibu zaidi ya 2:1.
 
swali sasa je hao wote walikuwepo kikaoni?
Katiba ya vyama vingi (many parties) ikiwemo vya siasa, huwa ina kipengere kwamba ili maamuzi yoyote yawe sahihi ni lazima Akidi iwe zaidi ya theluthi mbili.

Halafu katika hiyo theluthi mbili na zaidi, ili maamuzi yawe yamepitishwa kwa kauli moja ni lazima (50+1)% ya akidi iwe imeridhia.

Nina hakika kipengere hiki hata kwenye katiba/kanuni/taratibu za CHADEMA lazima kitakuwepo.

*Akidi: Idadi ya wajumbe wanaohudhuria mkutano fulani (tafsiri ni kwa maneno yangu).
 
Ni siri ya CHAMA. Kwanza ulifanikiwaje kumtambua Beregu? Au nawe uko kwenye mapinduzi ya CHAMA katika waraka wa ushindi.

Kamwe hatutatoa majina yao kwa usalama wao na usalama wa chama, kwani wanaweza kununuliwa hasa katika suala hili la Zitto na fukuza fukuza inayoendelea.

Sister ----
 
Nilikuwa sijui kama Baregu alikuwa kwenye kamati kuu ya CHADEMA....niko curious kujua the rest.

=============

Nnimepata hii

1. Freeman Mbowe
2. Wilbroad Slaa
3. Tundu Lissu
4. Peter Kibatara
5. Said Issa Mohamed
6. Suzan Lyimo
7. Suzan Kiwanga
8. Lazaro Maasai
9. Anthony Komu
10. Benson Kigaila
11. John Mnyika
12. Wilfed Lwakatare
13. Said Mzee Said
14. John Mrema
15. Ezekiel Wenje
16. Nassor Ally Salim
17. Godbless Lema
18. Grace Kihwelu
19. John Heche
20. Alex Kisurura
21. Nyangaki Shilungushile
22. Chiku Abwao
23. Japhery Michael
24. Mabere Marando
25. Hamad Yusuph
26. Shida Salum
27. Edson Mbogoro
28. Peter Msigwa
29. Mwanamrisho Abama
30. Prof. Baregu
31. Prof. Safari
32. Silvester Masinde

baadhi yao kwenye picha
 
Attachments

  • Chadema.jpeg
    Chadema.jpeg
    12.5 KB · Views: 1,725
  • Cdm.jpeg
    Cdm.jpeg
    10.2 KB · Views: 1,720
  • safe_image.php.jpeg
    safe_image.php.jpeg
    17.7 KB · Views: 190
Back
Top Bottom