Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,882
- 2,374
Kuwa dini moja, kutoka ukanda moja au hata kabila moja inawezekana isiwe tatizo, lakini tujuilize pia influence Yao kwenye maamuzi ikoje? Je ni kwa kiasi gani maamuzi ya kk yanakuwa balanced kwenye mambo makubwa kama haya bila kuegemaa ukanda na ukabila?
Ni kwa nini baadhi ya wale wanaotokea maeneo tofauti ndiyo wanaelekea kupinga maamuzi? Kwa nini wote wale wa kaskazini wameunga mkono maamuzi Yale?
Je haiwezekani hii ikawa ni matokeo ya damu nzito kuliko maji?