Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Kikao cha Dharura. Ni Kikao cha kuwachinjilia mbali Kubenea na Komu

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?

IMG_9545.JPG
IMG_9544.JPG
 
Tanzania ni nchi ya Chama kimoja ,
japo INA mfumo wa vyama vingi , tusisahau kuviita vyama vingi vya siasa

Kuna vyama vingi nchini hata vya siasa ambavyo vimebadili dira na kuwa vyama vya 'SAKOSI' kama vile CHADEMA.
Imeamua kuungana na vyama vya aina ya Sakosi , hata hivyo , vyama vingine vya kiharakati na kijamii vipo , kv. Chama cha Wakina Mama .

Ushauri wangu , CHADEMA , imefikia ukomo wake wa uhalisia wa kuwa chama cha siasa , ni vyema , Mbowe akatafakari upya kukibadili matumizi na sisi wanachama tukaanza kufaidi hiyo sakosi kuliko wakina Mbowe pekee , pia ni vema zaidi Msajili akatafakari njia nzuri sana ya kukifuta , tukabaki na CCM pamoja na vyama vingine washirika ,haha

Kina Kubenea na Komu wape pole sana.
Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?

View attachment 899457View attachment 899456
 
Chama Changu kinapitia wakati mgumu sana!

Eeeh Mungu tuvuke salama, haya ni mawimbi tu... dhoruba itawakumba CCM 2020. Inshallah
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hiki chama atabaki Mbowe tu na bavichaa wake wachache aliowasambaza mtandaoni kumtetea kila anapokula ruzuku ya chama na kuzaa na wabunge wa viti maalumu.

Chama kinafuata mtu, badala ya mtu kufuata chama alafu eti utawakuta kwenye korido za ufipa wakijisifu in wanachama wasomi.

Hovyo kabisa.
Kwenye kongamano la kigoda cha Mwalimu majuzi kati pale UDSM katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru alisema wazi wazi mbele ya hadhara / umma kwamba kwenye chama chanke kuna wezi wakubwa sana na hata ruzuku haileweki inafanya nini. Akaenda mbali zaidi kusema mmoja wa wezi alimnyang`anya gari barabarani.
Kesi zote zilizopo mahakamani za rushwa kubwa kubwa na huujumu uchumi sana sana zinawagusa makada wa chama chetu tawala. Nini maoni yako mkuu.
 
Hiki chama atabaki Mbowe tu na bavichaa wake wachache aliowasambaza mtandaoni kumtetea kila anapokula ruzuku ya chama na kuzaa na wabunge wa viti maalumu.

Chama kinafuata mtu, badala ya mtu kufuata chama alafu eti utawakuta kwenye korido za ufipa wakijisifu in wanachama wasomi.

Hovyo kabisa.
Fact walahi
 
Back
Top Bottom