Ulipofika kwenye maneno "watajadili pia mgombea mtarajiwa 2020 kupitia Chadema" nikajua huu ni uzushi tuKuna tetesi kuwa, Kamati Kuu ya CHADEMA itakutaka tarehe 7 Februari 2019. Katika kikao hicho, mada kuu itakuwa hali ya kisiasa nchini. Katika kikao hicho, watajadili pia mgombea mtarajiwa 2020 kupitia Chadema.
Kwani CHADEMA wanapokeaga rushwa?!!!Ccm watahonga wajumbe wote wa mkutano mkuu chadema wampitishe Lowassa badala ya Lissu.
Rudini shule mkajifunze kuandika, eti ''pamoja na agenda nyingine'' itajadili agenda moja maalum'' hicho kikao ni ''ordinary'' au ''extraordinary''. ''agenda moja maalum''??..yule dogo Ally na Tumaini nani bosi wa mwenzake?
Halafu baada ya kujadili iweje ? Maana haya tushayazoea !
Lissu anaonekana kum-frustrate Lowasa, mwekezaji mkubwa Chadema akitarajia kugombea urais 2020, lakini Lissu tayari amekwisha kujitangazia nafasi hiyo bila kupitia vikao rasmi vya chama chake.
Na ndicho kinakupa jeuri ya kuropoka hapa Jamii Forum.Ni muda muafaka watangaze maandamano ya amani kuunga mkono kauli za mzalendo Lissu kudai haki.
Jiwe atatoa vitisho vikali kupinga maandamano hayo na dunia nzima itamwamini Lissu na kuwa upande wa wapinzani.
Jukumu la kudai haki na demokrasia nchini sio la Lissu peke yake.
Muda huu ambao anaomngea na vyombo vya habari vya kimataifa chadema impe ushirikiano dunia itambue ccm ni chama cha wachache kwa maslahi ya wachache, ni chama cha kishetani na kigaidi.
Lissu anaonekana kum-frustrate Lowasa, mwekezaji mkubwa Chadema akitarajia kugombea urais 2020, lakini Lissu tayari amekwisha kujitangazia nafasi hiyo bila kupitia vikao rasmi vya chama chake.