Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

Umekuwa muuongo sana ndugu yangu. Unafaidika na nini kuwa muongo hapa jukwaani.
Msikilize Mwenyekiti Mbowe ndio utajua yale yalikuwa maamuzi ya chama.


Sasa mliweka mgombea Urais Zanzibar afanye nini?

Nyie CHADEMA ndio maana Halima James Mdee anawadharau sana!
 
Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadae likapitishwa na kikao cha baraza kuu Tundu Lissu akiwemo pia.

Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo na kuwataka wafuasi wake kumpigia kura Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa nafasi ya ubunge Kigoma mjini.

Mbona kamati kuu ya CHADEMA haikumuhoji Tundu Lissu wala kumchukulia hatua yoyote kama ilivyofanya kwa wale wabunge 19?

Ama ni mfumo dume umetamalaki au kamati kuu haina meno.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi we mwehu huwa unawashwawashwa nini na Chadema , si muanze kueleza mmetekekeza kitu gani katika ilani yenu ya uchaguzi ? Unahangaika na Chadema hangaika na ilani yenu na ahadi mlizoahidi watanzania . Halafu na JF wanakuendekeza wewe na mataga wenzeko kwa mada zenu kutwa kucha zisizokuwa na kichwa wala miguu .
 
Hivi we mwehu huwa unawashwawashwa nini na Chadema , si muanze kueleza mmetekekeza kitu gani katika ilani yenu ya uchaguzi ? Unahangaika na Chadema hangaika na ilani yenu na ahadi mlizoahidi watanzania . Halafu na JF wanakuendekeza wewe na mataga wenzeko kwa mada zenu kutwa kucha zisizokuwa na kichwa wala miguu .
Hahahaaaa....maalimu Seif na Zitto Kabwe wako Ikulu wanakunywa juisi.

Chadema kitu gani bhana, Halima Mdee jeshi la watu 19 wanatosha!
 
Uongo

Mgombea uraisi wa Chadema ZANZIBAR alipitishwa na kamati kuu ya CHADEMA na mkutano mkuu wa CHADEMA

Lisu akajibwatukia tu kuwa anamuunga mkono maalim seif bila kikao cha kamati kuu wala mkutano mkuu wowote!

Chadema mnadai katiba mpya wakati hata hiyo ya kwenu yenyewe hamuwezi kuisimamia!!! mkamwacha solemba mgombea uraisi wenu wa Zanzibar hewani

Vivyo hivyo kwa ACT wazalendo walitangaza kuuunga mkono Tundu LISU na kumtelekeza mgombea wao Membe ambaye aliteuliwa na kamati kuu na mkutano mkuu.iLIPOFIKA KUMTELEKEZA HAKUNA KIKAO CHA KAMATI KUU WALA MKUTANO MKUU kilikaa !!!

Upinzani Tanzania ni hopeless kabisa.Hawajali katiba zao halafu utasikia ohhhh tunataka katiba mpya!!!

Laana ya yule mgombea uraisi wa CHADEMA Zanzibar na Ya MEMBE ndiyo ilimfanya Lisu ashindwe uraisi
Ni heri ya hawa, kuliko chama kile cha kuchapisha fomu moja tu ya nafasi ya Urais
 
Kikao cha kumshauri kilikaa wapi na lini? Hiyo ni taasisi inayopigania kushika madaraka ya nchi kwahivo kila uamuzi lazima wananchama wajulishwe tena kwa vikao halali. Siyo Lisu anaenda tu zanzibar na kusema tumeamua iwe hivi! Mmeamua wewe na nani, na wapi?
Vikao halali ni kwa mujibu ni vile vilivyopo kwa mujibu wa katiba, na ni kiroja kwa watu wa Lumumba kuzungumzia katiba kwa sababu viongozi wao wanafikia hata kuinajisi katiba ya JMT, itakuja kuwa ya chama chao!

That's one but two, hapo juu nimewawekea kauli ya Mbowe akitangaza maamuzi ya Kamati Kuu ya kumuunga mkono Seif... sasa uhoji kikao kilikaa wapi, wewe unafahamu vikao vya CHADEMA wanatakiwa kukaa wapi?! Umefuatilia vikao vyao vingapi na walikaa wapi na kujadili nini?
 
Back
Top Bottom