Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

Mbowe anatakiwa kuileta kwa maandishi kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru!
Kwani takwa lile alipewa bashiru? Na bashiru kawa rais wa jmt tangu lini?
Maridhiano ya kitaifa hayawezi kuongozwa na ccm Bali msuluhishi huru asiye na itikadi! Bashiru ni mwalikwa tu!
 
Serikali ni ya CCM na kwahiyo jambo lolote kubwa ni lazima lipate baraka za chama.
 
Na ccm siyo bashiru! Don't confuse yourself and others!
Bashiru ndio mtendaji mkuu wa CCM.

Hata kama Mbowe atakubaliwa ombi lake Dr Bashiru ndio ataunda timu ya CCM katika maridhiano hayo itakayoongozwa na Kibajaji akisaidiwa na Waitara!
 
Haiyumkini wewe ni mnufaika wa hii migogoro ya political imbalance inayotokea hapa nchini kwani hutaki kabisa katiba ifuatwe inavyopasa!
Hata mmdanganye magufuli ili asikubaliane na Mbowe, ipo saa usiyoijua atatanabahi unafiki wenu ninyi wajaza tumbo wa lumumba na hapo ndipo tutasikia kwa yakini sauti zenu za maumivu!
 
Nimeisoma mahali kuwa huko Mwanza kwenye kikao cha CCM imetamkwa kuwa wapinzani wameiongezea CCM ruzuku ya zaidi ya 1 billion.

Nimesononeka na kukatishwa tamaa na mambo haya. Hulka ya binadamu ni kufanya makosa lakini kujisifia kwa makosa uliyofanya ni jambo ambalo halitegemewi katika ulimwengu wa waungwana na watu wanaomtaja Mungu.

Hivi ghiliba na hekaheka zilizofanyika za kushawishi watu wahame vyama ni jambo la kujisifia hadharani?

Jamani, tayari Tanzania ni ya kijani na itakuwa kijani zaidi mwaka kesho hatuna haja ya kujisifia kwa mambo ambayo dhamira zetu zinatusuta.
 
Tulishasema issue ni matumbo Magu alitaka kuwapa pesa CCM kwa njia hii
 
Hongera mhe rais umekipa heshima chama..naamini mwakani wapinzani wote waliounga juhudi zako muda wao utakuwa umeisha na kutupa nafasi ccm asilia mana hata ukiwaacha hawatapata nafasi yoyote kwenye vyama vingine..OVA
 
Sasa hebu watuambie na gharama za kuwanunua hao wanaosema waliowangezea kipato ili tuone hiyo biashara
 
Kumbuka unaowashutumu wana haki ya kujisifia kama wewe ulivyo na haki ya kuwapinga kujisifu.

Nadhani ungewalaumu ambao waliweka wagombea ambao hawajui itikadi ya chama kilichowapa tiketi ya kugombea! Kumbuka ukipanda mahindi usitegemee utavuna mtama!

Don't blame the player, blame the political game!
 
Go back to my post. I am concerned with moral obligations and not politics.
How on earth can you go and applaud for an immoral thing you have done?
 
Nimeisoma mahali kuwa huko Mwanza kwenye kikao cha CCM imetamkwa kuwa wapinzani wameiongezea CCM ruzuku ya zaidi ya 1 billion.

Nimesononeka na kukatishwa tamaa na mambo haya. Hulka ya binadamu ni kufanya makosa lakini kujisifia kwa makosa uliyofanya ni jambo ambalo halitegemewi katika ulimwengu wa waungwana na watu wanaomtaja Mungu.

Hivi ghiliba na hekaheka zilizofanyika za kushawishi watu wahame vyama ni jambo la kujisifia hadharani?

Jamani, tayari Tanzania ni ya kijani na itakuwa kijani zaidi mwaka kesho hatuna haja ya kujisifia kwa mambo ambayo dhamira zetu zinatusuta.
So u count this as archivement?
 
Go back to my post. I am concerned with moral obligations and not politics.
How on earth can you go and applaud for an immoral thing you have done?
There's no moral obligation in politics.

If you want moral obligation, try to visit a worship place or stick to churches!

Politics is all about fighting for power using any means available!
 
Go back to my post. I am concerned with moral obligations and not politics.
How on earth can you go and applaud for an immoral thing you have done?
Immoral thing kivipi? Kwani waliohama si watu wazima na akili zao timamu?

Hiyo ndio democracy, hata kama walishawishiwa lakini wao sio watoto wadogo kwamba walishurutishwa
 
Back
Top Bottom