Niliwahi kuuliza uwezo wa huyu mwenyekiti kupambanua mambo nikaambiwa nawachukia wanawake.
Mwigulu ana makusudi yake dhidi ya huyu mama asiyeelewa kinachoendelea.
Nilifungua Uzi kumkumbusha ujanja wa Mwigulu kutaka yeye achukiwe wapambe wakaja juu. Mwigulu ni jipu changa likiiva litapasuka na Mtu.
🤣
 
Mwenyekiti wa CCM taifa amemuagiza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kusikiliza malalamiko ya wananchi kuhusu tozo.
 
Back
Top Bottom