Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma kesho Jumanne Juni 22, 2021

Kile kipindi cha babu kijana cha channel ten bado kinaendelea? Au siasa chafu zimeondoka na dhalimu, hivyo mitume wa dhalimu wamepoteza nguvu?
 
Mama Samia kuna mtu anaitwa NYALANDU, eti ulimuahidi cheo mbona unampotezea? Nasikia hadi simu zake hampokei!
Mkumbuke tafadhali hata uDAS tu.
 
Wajumbe Kamati kuu, wamshauri Rais arudishe FAO LA KUJITOA

SERIKALI isichukue jasho la wanyonge
 
Mama anaitisha kikao wakati tayari keshateua nafasi zote muhimu sasa wakakimbizane na UDA na DED wapambane na madiwani unreasonable.
 
Maisha yanaenda kasi sana, kijana wetu polepole na Bashiru hawatakuwepo kikaoni?....ila mama naye angewaacha tu wakomae hata 5yrs...
 
Kwa nini ukumbi uitwe white house Ikulu ya marekani na huku kuna majina mengi ya wapigania Uhuru kama Isike,Abushiri,Bwana Kheri, Kinjekitile ngwale au wapigania Uhuru wa Afrika akina Mondlane, Obote, Kaunda, Netto nk ,ccm ni mabepari waliojificha au hata Mazengo hall inatosha
 
Kwa nini ukumbi uitwe white house Ikulu ya marekani na huku kuna majina mengi ya wapigania Uhuru kama Isike,Abushiri,Bwana Kheri,Kinjekitile ngwale au wapigania Uhuru wa Afrika akina Mondlane,Obote,Kaunda,Netto nk ,ccm ni mabepari waliojificha ,au hata Mazengo hall inatosha
KAMATI KUU WANANCHI TUNATAKA KATIBA MPYA NI AIBU CCM KUOGOPA KATIBA MPYA
 
Back
Top Bottom