Kamati Kuu ya CCM kufanya Kikao Novemba 19 na 20, na Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa Novemba 22 na 23, Dar

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
CCM2.jpg
 
Bila Shaka "Itapendeza zaidi" kama Dr shika ataalikwa kutoa nasaha na mbinu zake alizotumia kule mnada wa Lugumi kwa chama kongwe ili walau kinoe makali na upya
 
Ushauri wa bure kwa Juma Pombe Maharagwe,aatangaze tu kuwa Katibu Bonge ameomba kustaafu ama anasubiri kupangiwa kazi nyingine na kuwa sasa wanamchagua Katibu Bonge mwingine,sarakasi za kusema katumwa kwa karumanzila akaaguliwe mara mwanae huko Ulaya kapigwa zongo haina mashiko!!!!

Mtu aliyeweka mgomo baridi kwa kupishana utashi na akaamua kusimamia msimamo wake basi kubaliana kutokubaliana ama msikilize ama mtengue kama hutaki mawazo yake!!
 
Ndio umeandika nn?
 
Ni Vema wajumbe wa vyama vya siasa wakawa wanakutana na kubadilishana mawazo.
Ni jambo jema kuona wanasiasa wanotawala nchi kujumuika pamoja kama team kupanga mikakati mipya ya kuendelea kushika/kuchukua dola.
 
chonde chonde. vikao vyenu vya kipuuzi mkafanyie chimwaga sio ikulu.
 
Kinana anapangiwa kaz nyingine baada ya ile ya kuuguliwa na kuugua kuwa expared!!

Hahaha tanzania ya miujiza
 
Kitafanykia ikulu au kwenye majengo yao

Naona mkulu anayaogopa kweli majengo ya CCM
 
Back
Top Bottom