Kamati Kuu ya CCM kufanya Kikao Novemba 19 na 20, na Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa Novemba 22 na 23, Dar

Tunaomba vikao vyenu fanyieni Lumumba au Dodoma au mkodi hotel na siyo kugeuza ikulu sehemu ya wahuni kukutania.
Vikao vitafanyika ndani ya IKULU kwa sababu mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa nchi na anaishi humo Ikulu. Wapinzani nao walishaambiwa kuwa wakitaka kufanya vikao vyao, na wao wanakaribishwa kufanyia ndani ya ikulu.
 
IKULU ilikuwa kipindi cha mwalimu huingii hivyo hovyo; ushishange hata mkutano mkuu wetu ujao wa CCM tukafanyia hapo.
 
Zamani ikulu ilikuwa mahali patakatifu, siku hizi ikulu imekukuwa kama ukumbi wa bar
 
Afadhari ccm wanakuwa na programu zao zinazoeleweka.
Chadema wao kukutana ni mpaka wasubiri serikali ifanye yake ndipo wakutane kutoa matamko yasiyotekelezeka.
 
Niko njiani kuelekea Ikulu kupanga mikakati ya chama kuhakikisha 2020 wapinzani waambulia 15% ya wabunge wote
 
Ni wakati muhimu kwa kamati kuu na halmashauri kuu itathimini miaka miwili ya utawala wa awamu ya tano. Ni vizuri vikao hivi vitumike kwa kina mwelekeo wa uchumi wa Tanzania kwa ujumla. kama kuna kasoro yeyote vikao hivi visisite kumshauri Mwenyekiti wa Chama.
Kidumu cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom