Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Natumaini Dada yetu Sauti ya Zege anaitumia sana hii clip
 
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.

P
Ina maana wewe kutokuteuliwa ilikuwa sahihi?
 
Askofu Mkuu Dr Rashid Josephat Gwajima 😂😂😂
 
Back
Top Bottom