Kamati kuu CHADEMA, tunawasubiri na kauli kuu "No Tume Huru, No Uchaguzi"

Uhuru wake uko wapi? Kwenye maandishi?
Mwenyekiti wa tume pamoja na mkurugenzi wa uchaguzi wote ni wateule wa mwenyekiti wa CCM, wakurugenzi wa halmashauri ambao ndio wasimamizi wakuu kwenye majimbo pia ni makada wa CCM na wameteuliwa na mwenyekiti wa CCM. Enough is enough. Mwaka huu nchi hii lazima ife ili taifa jipya lizaliwe.
MKISUSA WENZENU WATAKULA TUU. Ningependa niuone ujasiri wenu wa kuzuia utashi wa wengi.
 
Wanaodai Tume Huru wanatuma very soft languages ambazo ni watawala wachache sana tena wale walioshushwa na MUNGU tu ndo wanaweza kuwapa wanachokitaka!!
Hawa watawala wetu vichwa nazi wanaopatikana kwa "nguvu mbalimbali" wanahitaji fujo za level fulani hivi ili waweze kutimiza kile kinachotakiwa!!

Upinzani ungeanza kwanza kudai haki ya kufanya mikutano ya wazi na ya ndani inayokubalika kikatiba! Ndiyo Fanyeni mikutano. Hizo barua za intelijensia ya polisi wala zisiwakatishe tamaa!🐸
Ukizingatia huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wanapaswa waliamshe kweli kweli!
Najua wengi watakamatwa maeneo mbali mbali na kuswekwa ndani... Haijalishi muhimu ni ujumbe ufike!
Mtawala ategwe! Dalili zipatikane!
Wafuasi watajua... Wananchi watajua... Na dunia yote itajua ni kwa nini wameswekwa ndani...
Na kila uchao wachagize kuwa kutokana na yanayotokea na kuendelea au kutarajiwa kutokea... Kuna kila dalili kuwa uchaguzi hautakuwa huru na haki.
Vinginevyo watawala wathibitishe kwa kuunda Tume huru!

Hii ndo njia pekeee yenye tija!
Mengi yanayoendelea kwa sasa ni sawa na kupoteza muda!
 
No uchaguzi ndio strategy ya kuikoa chadema hakuna matayarisho site. Ila mlikuwa wapi siku zote. Sijawahi kusikia mbunge wa upizani aliyepeleka bill ya kudai tume huru. Au hakuna strategy ni matukio ndio yanaendesha chama😃😃
 
hawa chadema siwaamini toka waluposusia uchaguzi wa serikali za mitaa kisha wakajiendea kunywa mbege. Ilitakiwa baada ya kususia nini kifate, kosa hilo wasilifanye oktoba, wakisusa tlp, cuf, tpp,udp usije ukashangaa wakaoewa wabunge wa ccm kupitia huko ukakuta wanafikia mia, ccm wakawa wanaranda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom