Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Naomba kuuliza. Ninavyojua , kamati kuu inatoa mapendekezo na siyo maamuzi. NEC ndiyo inaamua nani apewe hiyo nafasi baada ya kupitia mapendekezo ya kamati kuu na hivyo hivyo kamati kuu ina toa mapendekezo baada ya kupitia maoni na mapendekezo ya kamati ya maadili, kamati za siasa za mkoa na wilaya.
 
Kwa hiyo mnaona ni busara CC kumpitisha aliyepata kura 2,700 na kumwacha aliyepata 14,000, hiyo tofauti ya kura zaidi ya 10,000 mnataka ziende wapi CC waache mchezo wawe makini.

Mkuu mimi namfagilia sana Lucas Seleli na ningependa awepo bungeni. Lakini kama tumejiwekea taratibu za kuchagua candidates ni lazima zifuatwe without any exception, hakuna mtu mwenye haki zaidi na chama kuliko wanachama. kama Seleli aliangushwa kwa kura halali, kama mshindi alishinda halali kwa ballot box, na kama waliompigia kura aliyeshinda hawakuhongwa na watu kutoka Igunga ni vema haki na uamuzi wa wanachama uheshimiwe. Otherwise ni kupindisha sheria na taratibu tulizojiwekea.

There is similar talk kuhusu mzee malecela kupewa nafasi, hii maana yake nini? Ina maana kuna wengine ambao CCM ni mali yao na wengine ni wasindikizaji? au wengine ni wana CCM second class hata wakishinda kwa uhalali wawekwe kando?

Ni vizuri tukiambiwa yote yaliyoendelea kuhusiana na jambo hilo, na kama aliyeshinda alishinda kwa njia zisizo halali ni lazima achukuliwe hatua zinazostahili. It is stupid indeed kusema, Seleli achukue nafasi yake na Bashe apewe ubalozi, u-Dc au U-Rc. Ni kudhalilisha vyeo hivyo kuvifanya kama appeasement. Mtu apewe nafasi ya uongozi kutokana na merit kwanza, isiwe kama ni zawadi au danganya toto. Kuna baadhi ya mambo tunayofanya ni upuuzi uliowazi kabisa.
 
Huyu BASHE kasoma pale mzumbe university kwa mkopo wa serikali leo hii mnasema sio raia.
Lets try to be serious unaweza kuta zengwe la CCM tuu kutaka kumrudisha Seleliiii.Basi wamtose na Lowasa alieshinda kwa kura 40,000 ambazo nina wasi wasi wale wafugaji kufika idadi iyo wakati majimbo mengi figures zao kufika 40,0000 ni issue
 
Naomba kuuliza. Ninavyojua , kamati kuu inatoa mapendekezo na siyo maamuzi. NEC ndiyo inaamua nani apewe hiyo nafasi baada ya kupitia mapendekezo ya kamati kuu na hivyo hivyo kamati kuu ina toa mapendekezo baada ya kupitia maoni na mapendekezo ya kamati ya maadili, kamati za siasa za mkoa na wilaya.

Mapendekezo ya CC huwa ni maamuzi impliedly, kwa sababu over 90% ya mapendekezo ya CC ambayo hupelekwa kwenye NEC huwa yanapitishwa kama yalivyo, unless liwe ni swala nyeti sana. Kwa hiyo NEC mimi ninaiona ni kama rubber stamp tu.
 
1. Ikitokea kweli Sellelii akarudi bungeni kama inavyoelezwa hapa, THEN Si ushindi kwa Sellelii ila ni Ushindi kwa Dr Slaa. Credibility yake iko vizuri hadi kupelekea hiyo impact. Hii ni tofauti na Bw Mrema na Bw Mapesa... Dr Slaa, KEEP UP! KEEP ON! GO GO GO... Soon you will corner them... Helplesly!!

2. Definetly LA na RA watakuwa 100% Looser! Na kama hao CCM wameanza kuwa na viujasiri uchwara kama hivyo kujibu nguvu ya upinzani na kuanza kuwaacha baadhi ya Wanachama wao kwa namna hiii .... Vipi kuhusu zile tetesi kuwa hata LA na RA they are on the List, to be thrown away? This just a speculation... assume Inatokea hivyo... Ili kama wanvyosema, kubomoa upinzani na kurudisha heshima ya chama... Dr Slaa atakuwa wapi?
 
Atapewa ukuu wa wilaya na Dr Slaa? maana ndiye Rais ajaye au hapo sijaelewa vizuri.

Ushauri wangu wa bure kwa huyo docta SILAHA akipata huo URAHISI asikitumie cheo cha ukuu wa wilaya kama jalala la kutupia mizoga....ikumbukwe hawa wazee wana kazi ngumu ya kuleta maendeleo kwa wananchi,kuhamasisha kuondoa njaa na kuleta amani kuliko hao wabunge wanaochaguliwa ambao wanajitokeza majimboni kama watalii tu......
viongozi goigoi wataleta shida jamani!!!!
 
Huyu BASHE kasoma pale mzumbe university kwa mkopo wa serikali leo hii mnasema sio raia.
Lets try to be serious unaweza kuta zengwe la CCM tuu kutaka kumrudisha Seleliiii.Basi wamtose na Lowasa alieshinda kwa kura 40,000 ambazo nina wasi wasi wale wafugaji kufika idadi iyo wakati majimbo mengi figures zao kufika 40,0000 ni issue

Heshima kwako Njowepo,

Wapo watu wengi sana waliowahi kudanganya uraia wa Tanzania na kufaidi matunda ya uraia kama watanzania wengine.Juzi juzi nadhani maeneo ya Kibaha wamegunduliwa waalimu wawili wa kiganda waliokuwa na vyeti vya kuzaliwa na kadi za kupigia kura za Tanzania.System ya uraia Tanzania iko hovyo sana kiasi kwamba inakuwa ni rais mgeni kukaa Tanzania na kudai yeye ni raia.

Serekali ya Tanzania inatakiwa kumfukuza Bashe nchini kwa kosa la kuishi na kufanyakazi Tanzania bila kufuata taratibu na sheria za nchi.Kwakuwa Somalia sasa hivi hakukaliki Bwana bashe anatakiwa kupelekwa kwenye kambi za wakimbizi ili shirika la wakimbizi UNCHR limuhudumie kama linavyofanya kwa wakimbizi wengine.

Ushindi wa Bashe unatokana na mtandao wa wasomali [watekaji wa meli] waliozagaa Tanzania ambao wanamkakati wa kupachika watu wao kwenye nafasi za kisiasa ili kulinda maslahi yao.Tayari wasomali wamefanikiwa kufanya hivyo nchini kenya kiasi kwamba kundi la Al shabab kutokea Kenya limeweza kufanya ugaidi Uganda bila kipingamizi.Tayari wasomali wanamiliki vituo vingi vya mafuta na mahoteli nchini Tanzania kwa maneno mengine wamefanikiwa kukamata uchumi kilichobaki kwao ni madaraka.Baadhi ya watu bila kujua wanashangaa ushindi mkubwa wa Bashe dhidi ya mpiganaji Seleli lakini wanshindwa kujua nguvu ya fedha iliyotumika tena mbele ya TAKUKURU.Umoja wa wasomali kwa kutumia nguvu ya fedha wameweza kuwazuia UWT / TAKUKURU kufanya kazi yao,bila shaka Muungwana alipewa taarifa yote ndio maana kaamua kumwondoa Bashe.
 
Sasa wamwache aendelee kwa sababu huko nyuma kuna watu walishindwa/hawakutaka kung'amua uraia wake? Iwapo ni kweli si raia basi haijalishi kama wana sababu nyingine au la. Yani aachwe mpaka ashinde Urais siku moja halafu soo likibumbuluka mseme ilikuwaje wakamwachia tangu ubunge?

Na hizo sababu nyingine za CCM ni zipi? Hapa si watu walilia sana Selelii alipotoswa, mkisema CCM inawalenga "wapiganaji." Sasa mnasemaje, wanamtaka Selelii? Yani tunakosoa kosoa ovyo ovyo tu.
 
nao watu wa huko tabora bwana nashukwa na butwaa na huwa siamini macho yangu kabisa ni kwa nini wanawapenda sana hawa waarabu...............waliisha sahau kuwa wao ndio walikuwa watumwa na hao mabwana akina ROSTAM,BASHE na wengine ni mazao yao na kwa kwewli kiasili sio raia...........wapeni wazawa watoto wenu waende bungeni wakawatetee......kwani nyie watu wa tabora na kwingineko hamuoni aibu kodi mnazolipa waende kuzila watu wa mataifa mengine???????wao wamekuja kufanya biashara for good haina tatizo waache sasa wakipata faida msikubali kurubuniwa na kununuliwa mkawapa kura........sisi hatuwataki kwenye serikali zetu wapeni nafasi watoto wenu wazawa wawawakilisheni na hao ndio wanaojua matatizo yenu......akina bashe waache waendelee kufanya biashara.............siamini
 
ILa kwa mbali kuna fununu kwamba huyu Bwana Bashe hana mahusiano mazuri na mtoto wa MH.Rais Ridhwani Kikwete hasa baada ya uchaguzi wa makamo mwenyekiti wa UVCCM Taifa ambapo bwana Bashe alishiriki na Swahiba wa Ridhwani Bwana Beno Malisa..!![/QUOTE]

Hili ndilo sababu kuu wala siyo nini wala nini! Ni kwa mara nyingine Ridhwan anaonyesha nguvu ya mkono wake kumwelekeza baba nini atende na akatenda, anaonyesha ambavyo matakwa yake yanaweza kupokelewa na baba na ama Makamba na kuwa ajenda inayotekelezeka. Hiki ndicho kinachomwokoa Seleli. Subirini mtaona mengi kwani hata Mungai amekuwa wa kwanza kupelekwa mahakamani kutokana fitina za salma kikwete wakati akiwa waziri wa elimu.
 
MBUNGE ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA NZEGA LUCA LUMAMBO SELELII ALIWAHI KULALAMIKA KUWA KUNA KUNDI LA WATU MAFISADI WAMEMTUMA NA KUMFADHIRI MTU AMWNGUSHE NA KWELI HALI IMEKUWA HIVYO,LEO TUNASIKIA ALIYETUMWA KUMWANGUSHA SELELII AMEKATWA JINA LAKE NA KAMATI KUU,JE WALIOMTUMA WATAKUBALIANA NA HALI HIYO?:embarrassed1::embarrassed1:
 
Mimi naona mgombea atakaye nufaika na zengwe hili ni Dr. Kigwangalla na si Selelii kama mtoa hoja alivyosema, sehemu kubwa ya wapiga kura wa Nzega wanataka sura mpya na sidhani kwamba CCM wanaweza kupuuza hizo sauti. Binafsi naamini Dr Kigwangalla atakuwa mbunge mzuri (provided he is not poisoned by stupid politics in CCM where the party comes first).
 
Huyu BASHE kasoma pale mzumbe university kwa mkopo wa serikali leo hii mnasema sio raia.
Lets try to be serious unaweza kuta zengwe la CCM tuu kutaka kumrudisha Seleliiii
.Basi wamtose na Lowasa alieshinda kwa kura 40,000 ambazo nina wasi wasi wale wafugaji kufika idadi iyo wakati majimbo mengi figures zao kufika 40,0000 ni issue

Kwenye red: Mimi nafikiri hili siyo zengwe la CCM la kutaka kumrudisha Seleli kule mjengoni. After all atakayepewa nafasi badala ya Bashe ni yule wa tatu -- Kigwangala.

Nahisi ni namna anayetumia JK kumdhoofisha polepole kisiasa rafikye RA maana sasa amekuwa embarrassment kwake mno. Juzi tumesikie mwanae kabaka mtoto wa Mugabe! Halafu hili suala la kutumia barua nyeti za serikali (za PM) kujinadi jimboni kwake na kum-embarass Pinda kwani Pinda anajua hawezi kumfanya chochote RA.

Mimi nadhani JK anaanza kufyeka mbawa za RA na hilo la uraia, kama nilivyosema katika post yangu nyingine ya topic hii, ni kiini macho tu. Serukamba naye vipi? Nasikia huwa kila siku husahinda katika reception ya ofisi ya RA hapa Dar! Nadhani naye amekuwea lined-up kutoswa -- kwa kigezo cha uraia.
 
Je uraia wa Rostum azazi? au Salvatory Rweyemamu ambaye anajulikana kabisa bila mkwaruzo wowote ni banyamulenge pure?
 
eti nasikia Aden Rage nae wanataka kumuondoa kisa ni Msomali. hakika yanipasa kuwaacha wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe.
 
eti nasikia Aden Rage nae wanataka kumuondoa kisa ni Msomali. hakika yanipasa kuwaacha wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe.

Wacha waondolewe Wasomali hawa wamezidi sana. Wazalendo wa Mkoa wa Tabora, hebu jitutumueni kidogo na nyie -- pesa za mafisadi zitawafanya mrudi utumwani na kumfanya Mtemi Mirambo atikisike kaburini! Yaani katika wagombea saba mkoani humo wanne ni wa aina ya akina Bashe -- Wasomali na Waburushi tu. Hii nadhani haikubaliki! Waache walie ubaguzi, ubaguzi -- but this is too much.
 
Weee weee, tukome kabisa wa Tabora. Unaweza kutusingizia kwa mengine ila si hilo la UTUMWA.

Inaonekana kuwa hata Historia huifahamu. Waarabu walipondwa na Walugaluga hadi wakashika adabu yao. Ikawa kila anayepita pale Tabora, inabidi alipe kodi. Ukiangalia hata film ya David Livingston, alikuwa na wasiwasi sana na utemi wa Milambo. Walipokuja Wageruman pia wakapokea kipigo na ikabidi waje na jeshi kubwa zaidi na silaha kubwa zaidi. Kwa Tanzania, Germans walipata shida na Kijenketile, Mangi (Uchagani), Mkwawa na Tabora (Mtemi Isike) na hawa hata hawakukubali kushikwa hai ila walijiuwa.

Mkoa wa Tabora ulikuwa na wapinzani sana wakati wa Nyerere na Nyerere alichokifanya ni kuhakikisha anawabana Wanyamwezi kama mjusi kwenye Mlango. Sasa hivi tumebaki kama Mazezeta kama ngoma, kila ukitupiga, sisi twaitikia tu amina. Sasa msitulaumu kwa matunda ambayo CCM/TANU imeyapanda kwa Wanyamwezi. Mlitaka tuwe Mazezeta ya NDIYO RAIS, tumekuwa. Hapa usimlaumu Muarabu kabisa na tujenge tabia ya kukubali makosa yetu wenyewe.
nao watu wa huko tabora bwana nashukwa na butwaa na huwa siamini macho yangu kabisa ni kwa nini wanawapenda sana hawa waarabu...............waliisha sahau kuwa wao ndio walikuwa watumwa na hao mabwana akina ROSTAM,BASHE na wengine ni mazao yao na kwa kwewli kiasili sio raia...........wapeni wazawa watoto wenu waende bungeni wakawatetee......kwani nyie watu wa tabora na kwingineko hamuoni aibu kodi mnazolipa waende kuzila watu wa mataifa mengine???????wao wamekuja kufanya biashara for good haina tatizo waache sasa wakipata faida msikubali kurubuniwa na kununuliwa mkawapa kura........sisi hatuwataki kwenye serikali zetu wapeni nafasi watoto wenu wazawa wawawakilisheni na hao ndio wanaojua matatizo yenu......akina bashe waache waendelee kufanya biashara.............siamini
 
Wacha waondolewe Wasomali hawa wamezidi sana. Wazalendo wa Mkoa wa Tabora, hebu jitutumueni kidogo na nyie -- pesa za mafisadi zitawafanya mrudi utumwani na kumfanya Mtemi Mirambo atikisike kaburini! Yaani katika wagombea saba mkoani humo watatu ni wa aina ya akina Bashe -- Wasomali na Waburushi tu. Hii nadhani haikubaliki! Waache walie ubaguzi, ubaguzi -- but this is too much.
Mi siwashangai watu wa Tabora, kuna baadhi ya sehemu (mikoa) ukiwa na asili ya nje unaonekana masiha though nao ni Watanzania ila tujiulize wana nia ya dhati ya kuwawakilisha hao wana-majimbo au ni maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom