Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Kutoka NEC wagombea wa CCM ni hawa


ARUSHA

i. Arusha: Dr. Batilda BURIANI
ii. Arumeru East: Jeremiah SUMARI
iii. Arumeru West: Goodluck Ole MEDEYE
iv. Karatu: Dr. Wilbald LORRI
v. Longido: Michael LAIZER
vi. Monduli: Edward LOWASSA
vii. Ngorongoro: Saning'o Ole TELELE

IRINGA

i. Iringa Urban Monica MBEGA
ii. Isimani: William LUKUVI
iii. Kalenga: William MGIMWA
iv. Kilolo: Prof. Peter MSOLLA
v. Ludewa: Deo FILIKUNJOMBE
vi. Makete: Dr. Binilith MAHENGE
vii. Mufindi North: Mohamed MGIMWA
viii. Mufindi South: Menrad KIGOLA
ix. Njombe North: Deo SANGA (Jah People)
x. Njombe South: Anne MAKINDA
xi. Njombe West: Gerson LWENGE

KAGERA

i. Nkenge: Assumpter MSHAMA
ii. Bukoba Urban: Khamis KAGASHEKI

iii. Bukoba Rural: Jasson RWEIKIZA
iv. Muleba North: Charles MWIJAGE
v. Muleba South: Anna TIBAIJUKA
vi. Chato: John MAGUFULI
vii. Kyerwa: Eustace KATAGIRA
viii. Karagwe: Gosbert BLANDES
ix. Biharamulo: Oscar MUKASA
x. Ngara: Deogratias NTUKAMAZINA

KIGOMA

i. Kigoma Urban: Peter SERUKAMBA
ii. Kigoma South: Gulam KIFU
iii. Kasulu Urban: Neka NEKA
iv. Kasulu Rural: Daniel NSANZUGWANKO
v. Manyovu: Albert NTABALIBA
vi. Buyungu: Christopher CHIZA
vii. Muhambwe: Jamal TAMIMU
viii. Kigoma North: Rabinson LEMBO

KILIMANJARO

i. Moshi Urban: Justin SALAKANA
ii. Moshi Rural: Dr. Cyril CHAMI
iii. Rombo: Basil MRAMBA
iv. Same East: Anne MALECELA
v. Same West: David DAVID
vi. Hai: Fuya KIMBITA
vii. Vunjo: Chrispin MEELA
viii. Mwanga: Prof. Jumanne MAGHEMBE
ix. Siha: Aggrey MWANRI

MANYARA

i. Babati Urban: Kisyeri CHAMBIRI
ii. Babati Rural: Jitu SONI
iii. Hanang: Dr. Mary NAGU
iv. Kiteto: Benedict Ole NANGORO
v. Mbulu: Philip MARMO
vi. Simanjiro: Christopher Ole SENDEKA

MARA

i. Musoma Urban: Vedasto MATHAYO Manyinyi
ii. Musoma Rural: Nimrod MKONO
iii. Mwibara: Alphaxard LUGOLA
iv. Bunda: Stephene WASSIRA
v. Rorya: Lameck AIRO
vi. Tarime: Nyambari NYANGWINE
vii. Serengeti: Dr. Stephene KEBWE

MBEYA

i. Mbeya Urban: Benson MPESYA
ii. Mbeya Rural: Luckson MWANJALA
iii. Kyela: Dr. Harrison MWAKYEMBE
iv. Mbarali: Dickson KILUFI
v. Lupa: Victor MWAMBALASWA
vi. Songwe: Philipo MULUGO
vii. Rungwe East: Prof. Mark MWANDOSYA
viii. Rungwe West Prof. David MWAKYUSA
ix. Ileje: Aliko KIBONA
x. Mbozi Mashariki: Godfrey ZAMBI
xi. Mbozi West: Dr. Luka SIAME

MOROGORO

i. Morogoro Urban: Aziz ABOOD
ii. Morogoro South East: Dr. Lucy NKYA
iii. Morogoro South: Innocent KALOGERIS
iv. Mvomero: Amos MAKALA
v. Ulanga East: Celina KOMBANI
vi. Ulanga West: Haji MPONDA
vii. Gairo: Ahmed SHABIBY
viii. Kilosa: Mustafa MKULO
ix. Mikumi: Abdulsalaam SULEIMAN
x. Kilombero: Abdul MTEKETA

MTWARA

i. Mtwara Urban: Murji MOHAMED
ii. Mtwara Rural: Hawa GHASIA
iii. Masasi: Mariam KASEMBE
iv. Lulindi: Jerome BWANAUSI
v. Tandahimba: Juma NJWAYO
vi. Newala: George MKUCHIKA
vii. Nanyumbu: Dunstan MKAPA

MWANZA

i. Ilemela: Anthony DIALLO
ii. Nyamagana: Laurence MASHA
iii. Busega: Dr. Kamani MLENGENYA
iv. Magu: Dr. Festus Limba
v. Kwimba: Sharif MANSOOR
vi. Sumve: Richard NDASA
vii. Geita: Donald MAX
viii. Nyang'wale: Hussein AMAR
ix. Sengerema: William NGELEJA
x. Buchosa: Charles TIZEBA
xi. Misungwi: Charles KITWANGA
xii. Ukerewe: Getrude MONGELA.

RUVUMA

i. Songea Urban: Emmanuel NCHIMBI
ii. Peramiho: Jenister MHAGAMA
iii. Namtumbo: Vita KAWAWA
iv. Tunduru South: Mtutura MTUTURA
v. Tunduru North: Ramo MAKANI
vi. Mbinga West: Capt. John KOMBA
vii. Mbinga East: Gaudence KAYOMBO

TABORA

i. Tabora Urban: Ismail RAGE
ii. Tabora North: Sumar MAMLO
iii. Urambo East: Samuel SITTA
iv. Urambo West: Prof. Juma KAPUYA
v. Igunga: Rostam AZIZ
vi. Sikonge: Said NKUMBA
vii. Igalula: Athuman MFUTAKAMBA
viii. Bukene: Seleman ZEDI
ix. Nzega: Hamis KIGWANGALA
 
naona hii sredi inaelekea ndiko siko... Yaani leo ndio tunamtupa Bashe??? na zile fitna zote ndani ya nchi ndio tunakumbuka si mwenzetu? watu waliwahi hoji mzee wetu wa heshima kinana, hivi naye mamake aliukana usomali??

Guys, hii dhambi na ile ya udini vitaharibu uchaguzi wa mwaka huu

Mkuu vipi akienda CUF nadhani anaweza weka upinzani sana kwa Kingwangwala!
 
Sasa Chadema ina nafasi nzuri ya kulinyakua jimbo la iringa mjini, wajipange vizuri.
 
Basi kama mambo yamepelekwa namna hiyo, itakuwa kuchezea akili ya wapiga kura. Maana kama inavyofahamika huyu Bashe ni mjumbe wa vyombo vya juu kabisa ndani ya chama, walikuwa wapi kuvisema hivyo kabla ya kipindi hiki cha kura za maoni kuteua watu wa kuwawakilisha wananchi? Hivyo, wananchi wenzangu, tuwe makini sana na masuala ya nchi. CCM wasifanya watanzania wenda wazimu kwa namna hii. Maana tukio hili ninaonyesha jinsi ambavyo pengine kwa mara nyingi tu tumekuwa tukikosa watumishi makini wa taifa kwa watu husika kubambikiwa sifa zisizo zao. Mfano mzuri ni suala la Jenerali Ulimwengu na wengine kama akina Simba. CCM limekuwa kama genge tu fulani linaloendesha shughuli zake kwa manufaa ya wanachama wake wachache wenye mtazamo wa ubinafsi na si wote ndani ya chama.

Maana kama haya yote yangekuwa sahihi, je wameshindwa nini kusema kama TAKUKURU hawakuwa huko, lakini kulikuwa na matukio ya wazi ya rushwa basi yasemwe, na siyo kumbambikizia mtu eti siyo raia wa Tanzania. Hii ni sifa mbaya kabisa kama siyo ya kweli kwa mtu kutamkiwa. Maana inapunguza uaminifu kwa wapiga kura hata kama baadaye itajulikana ni ya uongo tu. Hivyo basi, katika masuala mengi ya kiusanii yafanywayo na chama hiki, watanzania tutakuwa tumepoteza fursa nyingi sana za kukuza uchumi wetu na hali ya utawala wenye uwezo wa kuiongoza nchi kutupeleka tuhitajiko.
 
Mkuu vipi akienda CUF nadhani anaweza weka upinzani sana kwa Kingwangwala!
Ukishaambiwa si raia mkuu hata ugombee nyumba kuni, nehi che!!! sanasana unachoweza kupigiwa kura ni ya ujambazi basi, otherwise lazima aombe uraia
 
Sasa Chadema ina nafasi nzuri ya kulinyakua jimbo la iringa mjini, wajipange vizuri.
Thubutu! Kwani ww uko wapi mkuu. Kwanza mwakalebela japo kura alipata nyingi ila kuna ishu alifanya na inajulikana ukiacha hio ya kutoa rushwa. Wengi waliompigia jamaa kura ni wahuni wa mtaani na wapenda michezo waliodanganyika kua atafanya uwanja wa samora kua wakimataifa. Hehehe. Mama mbega has a strong hold in a more reliable voting group namely akina mama.Sababu kubwa yakutopendeka kwa mbega na wakubwa iringa ni kua si mlaji hivyo nao hawapati pakulia ovyo. Iringa is a ccm strong hold sadly it wont go to chadema 2010, maybe 2015 nikipigania mimi hehehe.
 
hali zenu wajukuu zangu na wana jamii wenzangu.

kwanza tupeane pole kwa yote yaliyojiri dodoma na pia tupongezane kwa matokeo. mie babu yenu mambo hayakuwa mazuri kwa kuwa waliniangusha mapema na kwa kuwa hazikutosha nikaona kwa fursa ninayopewa na katiba ya nchi na chama ccm nikakata rufaa ambayo nayo bila ya mafanikio yeyote ilitupwa nje.mie nimeridhika na kwa ukweli nimeridhika.

kinachonishtusha hapa ni kwamba huyu bwana bashe kutorudishwa. ni ukweli kuwa mambo mengi yamesemwa na tumeyasikia.

ni kweli bwana bashe amegushi vyeti na kwamba amekuwa kila akigombea yeye anaandika tarehe tofauti za kuzaliwa. sijui ni vipi amekuwa akipenya siku zote kiasi ifikie leo anakamatwa..hili ni swali ambalo jibu lake sina na ningependa nijijibu mwenyewe kwa utashi wa kifikra na pia kuangalia mazingira.

ila kabla sijaanza kuleta hoja za msingi ninaomba niulize swali moja kwenu.......................................

hivi ni kipi ambacho unaweza fanya nikuthibishe wewe mwizi?????????
 
hali zenu wajukuu zangu na wana jamii wenzangu.

kwanza tupeane pole kwa yote yaliyojiri dodoma na pia tupongezane kwa matokeo. mie babu yenu mambo hayakuwa mazuri kwa kuwa waliniangusha mapema na kwa kuwa hazikutosha nikaona kwa fursa ninayopewa na katiba ya nchi na chama ccm nikakata rufaa ambayo nayo bila ya mafanikio yeyote ilitupwa nje.mie nimeridhika na kwa ukweli nimeridhika.

kinachonishtusha hapa ni kwamba huyu bwana bashe kutorudishwa. ni ukweli kuwa mambo mengi yamesemwa na tumeyasikia.

ni kweli bwana bashe amegushi vyeti na kwamba amekuwa kila akigombea yeye anaandika tarehe tofauti za kuzaliwa. sijui ni vipi amekuwa akipenya siku zote kiasi ifikie leo anakamatwa..hili ni swali ambalo jibu lake sina na ningependa nijijibu mwenyewe kwa utashi wa kifikra na pia kuangalia mazingira.

ila kabla sijaanza kuleta hoja za msingi ninaomba niulize swali moja kwenu.......................................

hivi ni kipi ambacho unaweza fanya nikuthibishe wewe mwizi?????????

Ukiiba na kushikwa.....!
 
Mkuu vipi akienda CUF nadhani anaweza weka upinzani sana kwa Kingwangwala!

CUF walishafanya uteuzi wa wagombea ubunge na kwa Nzega atasimama diwani wa zamani wa Nzega mjini Clement Dominic Kizwalo. Hata akionekana ni raia na akagombea upinzani bado hatakuwa na uhakika wa kushinda kwani hilo la uraia lishamchafua ila kikubwa ushindi alioupata dhidi ya Seleli ulifadhiliwa na watu kama Rostam na inajulikana kuwa alitumia kadi mpya kwa maelfu. Kwa hiyo kura alizopata ndani ya CCM hazimaanishi lolote katika uchaguzi mkuu. Na Rostam hawezi kumsaidia kwa sasa kwani hawa hawakuwa marafiki bali ni fate tu ndiyo iliyowakutanisha. Lengo la Rostam ilikuwa ni kumng'oa Seleli (na sio kumpa ubunge Bashe)- hili nilishalisema kwnye post za nyuma. Na ndio maana alipopendekezwa Kigwangala kugombea Nzega, Rostam hakuwa tena na sababu ya kumtetea Bashe. Mission Completed!

Lakini hata Kigwangala hana kazi rahisi. Japo ni gentleman by far kuliko Bashe. Kuna vitu viwili vinaweza kumuandama.
1. Mgomo wa madaktari pale Muhimbili, kwani alikuwa miongoni mwa viongozi wa mgomo (hili lilimsumbua ktk kura za maoni)
2. Kuna madai pia ya yeye kutumia/kununua jina la mtu mwingine baada ya yeye kumaliza darasa la saba ili aendelee form one. Kama hili ni kweli na ushahidi ukipatikana, linaweza hata kusababisha kuwekewa pingamizi tume ya Uchaguzi na kupelekea CCM kupoteza jimbo mapema sana kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi!
3. Karibu uongozi wote wa CCM wilaya ulikuwa kambi ya Bashe kwa hiyo uteuzi wa mtu yeyote nje ya Bashe ingekuwa changamoto. Naambiwa jana Mwenyekiti wa CCM Wilaya alikuwa na mipango ya kukusanya wanachama/vijana ili waonyeshe uasi!

In fact the battle for Nzega Constituency is far from over!

Nawasilisha!
 
Hivi huyu Hussein Bashe ni nani? Mpaka awe ajenda muhimu kwenye siasa za CCM?

Je ni kweli ni Msomali? Hivi ilikuwaje akapita kwenye vikao vyote vya awali vya CCM?

AU..Ndo jimbuko la siasa za kimafia TANZANIA?? RA v/s Wapinga ufisadi

Nashindwa kuelewa CCM inavyofanya kazi?


euhg8n.jpg


k147mc.jpg
 
Subiri kidogo,tutamfahamu sasa kirahisi maadamu wameshamvua gamba alilokuwa amevaa. Pole sana dogo Bashe,hizo ndio siasa. Kama utasoma hapa,chukua ushauri huu,achana na siasa fanya mambo mengine na fursa bado ziko nyingi na umri wako bado mdogo.
 
Subiri kidogo,tutamfahamu sasa kirahisi maadamu wameshamvua gamba alilokuwa amevaa. Pole sana dogo Bashe,hizo ndio siasa. Kama utasoma hapa,chukua ushauri huu,achana na siasa fanya mambo mengine na fursa bado ziko nyingi na umri wako bado mdogo.

Angeanza kwanza kumuuliza Abdularahm Kinana, yeye alikuwa wa mwanzomwamzo kufanyiwa zengwe. Hiyo ni karata ya watu wasio na sera, wengi wanatumia hiyo.
 
Dogo kaingia choo cha kike, operation squad imekula kichwa. Anacheza na corruption cartel, they can skin you alive
 
Back
Top Bottom