Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,830
- 16,664
Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
Yaani Kamati Kuu CCM imeona kabisa, kwa wajumbe rushwa inatembea sana, so Kamati Kuu ndio itaua rushwa kabisa na inajua nani anakubalika wapi au kati ya hao watatu wananchi wanawakubali vema, wana data zote lazima, hivyo rushwa itakufa kabisa