Kamati Kuu CCM kukutana kujadili Rasimu ya Katiba

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kwa wajumbe wa mkutano wa dharula ulioitishwa na chama tawala cha tanzania ccm kuhusu rasimu mpya ya katiba chini ya jaji warioba,ni kwamba wamepitisha azimio maalumu la kupinga na kubadilisha vifungu vyote vya rasimu vilivyobadili mfumo wa utawala kuanzia serikali 3, kuondolewa mgombea binafsi,kuondolewa kwa viti maalum,spika kutotokama na wabunge,wabunge kuondolewa na wananchi kama hawawajibiki ipasavyo bungeni,mawaziri kutotokana na wabunge,pia walienda mbali zaidi kwa kumlaumu mwenyekt wa chama mh.kikwete kwa kumruhusu jaji warioba kuipitisha hiyo rasimu isomwe huku akijua itakuwa ni mwiba kwa maslahi ya chama chao,mjumbe huyo alieleza kuwa ndan ya kikao ulitawala mjadala wa kushangazwa na jaji warioba kuweka mfumo wa utawala ambao ni sumu ya chama chao huku jaji warioba akijua kabisa kuwa ni kada na mlengwa mkuu, mjumbe huyo akidokeza kuwa kuna wakati ilifikia wajumbe wengne wa kikao wakitaka kuitisha maandamano ya kumuondoa jaji warioba kwa kukosa imani nae,
 
Ni hatari kukaa sehemu iliyoandikwa HATARI hata kama wewe ndiye uliyoiandika HATARI.
 
Back
Top Bottom