Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
CCM inahitaji kikao cha Dharura kufuatia matukio ya hivi karibuni hasa ya Mzee Kinana na Nape. Hali siyo shwari na tusijdaganye ni shwari. Vinginevyo chama kitapasuka hadharani. Ni muhimu hii kikao kikafanyika haraka sana. Chama kinakufa
Daudi Bashite anakipasua chama. Ikiwa hili swala litapuuzwa, basi tujitayarishie Bunge kuwang'oa hawa wawili wanaoongoza nchi kwa ubabe. Hii ndio njia pekee itakayoweza kuliokoa CCM
Daudi Bashite anakipasua chama. Ikiwa hili swala litapuuzwa, basi tujitayarishie Bunge kuwang'oa hawa wawili wanaoongoza nchi kwa ubabe. Hii ndio njia pekee itakayoweza kuliokoa CCM