4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,978
- 6,782
Uzuri kifo kikifika kimefika ,Bila kujali we nani, cheo, au utajili wako , unafukiwa na nguo moja na lisanduku la gharama japo hizo ni mbwembwe tu, utaoza na kubaki mifupa tu,Watu waliolewa madaraka huwa wanaona wana mamlaka yote, na wala hawaamini wana ukomo wa maisha yao hapa Duniani.
Hawaamini kama kuna kifo, ugonjwa wa kukufanya usijimudu, au hata kuondolewa kwenye madaraka.
Ndiyo maana wakati wote mambo yao yote reference yao huwa ni uchaguzi unaofuata, na huo unaofutaa huumini watatangazwa kuwa washindi, bila ya kujali wananchi watataka au hawataki.
Watu wskilijua hili na kulitafakari ,basi Dunia na Tz itakua Sehem salama Sana ,shida ni upofu tu