Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,407
- 31,392
Nakubaliana nawe kwa asilimia nyingiLet’s just face it; Tanzanian opposition political parties are their own worst enemies!
Ni kweli katika hiliWapinzani hawana ujanja wa kubaini na kukwepa mitego ya CCM, partly because they are divided.
Ni mmoja wa mitego uliyosema. Tulionya Msajili hana nia njema na Wapinzani na wala wasikae naye, watake kikao na serikali. Ni Chadema na NCCR Mageuzi waliokataa.Just in case some people don’t remember, ile task force iliyoundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa uliofanyika jijini Dodoma Desemba 15 hadi 17, 2021.
Kikao cha kwanza kikaahirishwa.
ACT Wazalendo kupitia TCD wakaingia mtegoni.
Ukubwa wa ACT ni chama kikuu cha Upinzania Zanzibar.
Kwa muundo wa siasa za nchi yetu ACT wana nguvu kisiasa hata kama ni kutoka Zanzibar.
ACT kukubali kikao kwa kujua akina Hamad na Mrema ni ''manunuzi'' ilikuwa kosa.
Kama ulivyosema CCM wanatumia Majoirty vote, sijui ACT na Zitto walifikiria nini
Hoja zako mbili hapo juu zina mantiki, kwanza, kukosa mbinu na pili kugawanyika.
Chadema, NCCR, ACT Wazalendo wangegomea task force ya Mkandala isingekuwepo
Hapa tuwe wakweli kuna makundi mawili yameuza 'dili''
ACT-Wazalendo na Zitto ambao hawana matumaini ya kupata chochote (Tume huru)
Wananchi wa Zanzibar waliopiga kelele na kutuvuruga miaka nenda rudi leo kama si wao
Siku uongozi utakaposhikwa na Mtanganyika, hatutaki kuwasikia akina Duni au Othaman.
Hatutakaa kusikiliza kelele za muungano au katiba mpya kutoka Zanzibar, waelewe.
Huu ni unafiki mkubwa sana wa Wazanzibar tuuseme! kipi kimebadilika enyi Wazanzibar?
Credit - NCCR ya Mbatia pia walikataa .Admittedly, vyama vichache vya upinzani, ikiwemo CHADEMA, vilikataa kuhudhuria huo mkutano, lakini ushiriki wa vyama vingine vya upinzani unalifanya zoezi la kukataa kuitambua hiyo task force kuwa gumu. Kumbuka, hakuna chama chenye kura ya turufu. Idadi kubwa ya vyama (majority) ikiridhia, imekula kwa wale wanaopinga!
Waliouza ghala la silaha ni ACT-Wazalendo, hawa ndio tatizo lote lilipo.
Angalia picha za Ikulu au task force utaona wazi Zitto ana 'guilty' , ukweli utabaki pale pale ameuza Upinzani kama alivyouza Mrema.
Kwa hili ACT na Zitto wamechangia sana kuvuruga mchakato wa katiba
Hapa kuna tatizo kidogo. Sidhani kama vyama havitahitajiani.Unfortunately, tangu reintroduction of multiparty democracy nchini, vyama vyote ambavyo vimewahi kuwa vyama vikuu vya upinzani vimeshindwa kabisa kuuongoza upinzani. Kimakosa, vimekuwa vikidhani kuwa havihitaji msaada wa vyama vingine vya upinzani. I don’t think it takes a PhD holder to understand that alienating other opposition political parties is a grave mistake!
Tatizo ni kuwa Msajili wa vyama amesajili vyama vingi tu pengine kisheria lakini vyote vina malengo maalumu. Hamad Rashid anaweza kuwa na chama, kina wanachama wangapi?
Akina Mrema mara ni wajumbe wa sijui Parole, ana kipi?
ACT-Wazalendo watapinga nini ikiwa wana 'ving'ora' vinawasindikiza- Shaka H Shaka
Kuna manunuzi makubwa, ni ngumu sana kupata vyama vyenye misimamo.
Hatari ninayoinona ni moja, vyama vikubwa bado vina influence, kutumia mamluki kunaweza kuwa tatizo.
Nchi nyingi zilijaribu lakini kuna wakati 'mass'' inaamua na hapo ukubwa wa chama una umuhimu. Hivi hatujifunzi ya Kenya 2007? Hatujifunzi ya Arab spring?