Kamati hii ya Uteuzi inaweza kweli kutupatia Tume Huru ya Uchaguzi?

Sitashangaa siku moja tukawa na katiba Mpya na kisha tukawa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa mujibu wa Katiba Mpya, lakini mwisho wa siku tukafuata nyayo za jirani zetu Kenya.

Africa ni shiida kwakweli!!
Kwan unatakaje?
Tume huru haiwezi kudondoka toka hewani
 
Sasa we ushaingiza siasa, upinzani Mara ccm, hapa tunajadili kuhusu TUME, hivi kwanini mnapenda kutoa watu kwenye reli, mnafaidika nin? Inasikitisha sana
Broda usipanic huwezi kuzungumzia Tume Huru bila kuzungumzia Vyama vya Siasa, Msingi wa malalamiko ni kuwa Tume haiko huru kwa sababu inateuliwa na Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Tawala we jibu hoja, kweli au si kweli huko kwenye vyama tu pia hakuna Katiba mpya watoto waliozaliwa 1993 leo wametimiza miaka 24 bado kwenye vyama hakuna mabadiliko ya uongozi. Tukosoe kwa kuonyesha mifano.
 
Back
Top Bottom